Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
alitusalimu kwa bashasha.
he greeted us warmly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maana ya neno bashasha
the meaning of the word humor
Last Update: 2021-09-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuwa na haja ya kuogopa kwa sababu vikaragosi vingine vilimpokea kwa bashasha”
she didn't have to worry because the other muppets enthusiastically welcomed her."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
usiku huo ulishesheni bashasha kiamboni petu kila mmoja wetu alingojea siku iliyofuata kwa hamu na ghamu
they are new
Last Update: 2021-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kabla tu ya ndoa watu husema maneno yote ya bashasha, lakini hawafanyi hivyo baada ya kuoana
right before the marriage they say all kinds of words, but don't talk too much after
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nina furushi la kutenda ninayosema, wakati mwingine kusema ninayotenda, lakini mara zote mtu mkweli mwenye bashasha ambaye ungependa kuwa naye!”
got a swag to walk the talk, talk the walk sometimes, but always a down to earth and sensational individual to be around!’
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rafiki yake wa kiume ross alikuwa na bashasha na ucheshi wa ki-australia na mwenye furaha ya maisha kama ilivyo kawaida ya watu wakarimu na wanyenyekevu kutoka australia.
her boyfriend ross had the easy going aussie humor and zest for life typical of folks from 'down under.'
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hakika, katika masaa 24 yaliyopita kwenye mtandao wa twita, hamasa ya watumiaji wa twita wa ki-rusi katika kufuatialia hali ya mambo nchini ukraini imezidi bashasha ya kufuatilia mashindano ya olimpiki.
indeed, in the last 24 hours on twitter, russian users’ interest in ukraine has surpassed their attention on the olympics.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
“kami ni mwathirika wa vvu mwenye afya, yatima wa miaka mitano mwenye bashasha ambaye ana aibu kidogo lakini huchangamka akijongelewa kwa njia ya kirafiki, pia anajua mengi kuhusu virusi vya ukimwi, alimpoteza mama yake kwa ugonjwa huo.
"kami is a healthy hiv positive, affectionate 5 year old orphan who is a little shy but quickly joins when approached in a friendly way, she also knows a lot about hiv, she lost her mother to the disease.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwaka huu ulikuwa ulimwengu mzuri zaidi kuliko mwaka jana kwa sababu tu nilichagua kusherekea na majirani zangu (ambao kwa kweli wamekuwa familia yangu hapa) na familia yao kubwa, ambayo ni ya watu wenye bashasha na wa ajabu sana.
this year was worlds better than last year simply because i chose to celebrate it with my neighbors (who have really become my family here) and their entire extended family, which is a hilarious and wonderful group of people.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: