From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwanablogu tokoloshte anapendekeza kutembelea laguna lachua ambayo “itageuzwa kuwa ya viwanda ” na serikali (watajenga barabara kibwa katikati ya hifadhi).
the blogger tokoloshte suggests visiting laguna lachua to be "industrialized" by the government (they will create a highway across the reservoir).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa washikadau walio na mipango ya kufanya biashara na uwekezaji nchini tanzania, ukosoaji unaifanya sekta kama ya gesi iliyo na changamoto nyingi kuwa ngumu zaidi, na wengine wanaona kuwa, matokeo yake ni kuwa, maeneo yaliyotelekezwa hayatafaidika ipasavyo.
for stakeholders with particular interests in business and investments in tanzania, criticism makes a challenging investment area like gas even more difficult, and some will even argue that it will result in less money going to neglected areas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maabara zinazotumika kwa tafiti za umma bado hazipati fedha za kutosha kutokana na mafungu ya bajeti yanayotengwa na vyuo vikuu, vyombo vya utafiti vya umma, na mashirika ya fedha, kama vile shirika la taifa la utafiti nchini ufaransa. hunufaika na fedha zinazotengwa na majimbo ya kiutawala nchini ufaransa, mashirika ya misaada ya hisani, viwanda na hata kutoka ulaya miradi 7,000 ilifadhiliwa, ikiziwezesha timu za watafiti wa umma na binafsi zipatazo 22,000 kati ya mwaka 2005-2009.
public research laboratories are partially funded by budget appropriation from universities, public research bodies, and financial agencies, such as the french national research agency (a.n.r.). they also benefit from allocations from french administrative regions, charitable groups, industry, and from europe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.