From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
binti yangu ni wa namna gani?
how is my daughter?
Last Update: 2024-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:
walijaribu kumnyamazisha binti yangu marya, ambaye alikuwa analia.
they tried to silence my daughter marya, who was crying.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
binti yangu sara akawaambia: "mmemuiba baba yangu na sasa mmekuja kutuiba sisi?".
my daughter sara said to them: "you have stolen my father and now you are coming to steal us?".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
akamsihi akisema, "binti yangu mdogo ni mgonjwa karibu kufa. twende tafadhali, ukamwekee mikono yako, apate kupona na kuishi."
and besought him greatly, saying, my little daughter lieth at the point of death: i pray thee, come and lay thy hands on her, that she may be healed; and she shall live.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
“kila waziri mkuu akitembea mji huu, binti yangu hupoteza siku moja ya shule kwa sababu shule yao hufungwa kwa siku hiyo,” alisema saleem haider, mkazi wa quetta.
“whenever our prime minister visits this city, a school day of my daughters is wasted because their school is closed down for that day,” said saleem haider, a quetta resident.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja myahudi alifika, akamwinamia na kusema, "binti yangu amekufa sasa hivi. lakini, tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi."
while he spake these things unto them, behold, there came a certain ruler, and worshipped him, saying, my daughter is even now dead: but come and lay thy hand upon her, and she shall live.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
jana niliamka nikatengeneza kahawa yangu… nikatinga vazi langu la abaya (kama unaona hili linatisha kufikirika, lifikirie kama jaketi), nikamchukua malaika wangu mdogo, nikaingia ndani ya gari yangu iendeshwayo na dereva ndani yake, nikamshusha binti yangu, halafu nikaenda kazini.
now yesterday i wake up, make my coffee … get dressed put my abaya on (if it’s too horrific to think about this, think of it as a jacket), pick up my little angel, get in my chauffeured car a.k.a. driver included, drop my girl off, and go to work.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: