Ask Google

Results for cd nimezipenda tena kwa sana tu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Imechapishwa tena kwa ruhusa.

English

Republished with permission.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ilitumwa tena kwa njia ya twita na mtu 1

English

Retweeted by 1 person

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:

English

And Jesus answered and spake unto them again by parables, and said,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Venezuela: Ni Chávez Tena kwa Miaka Sita Zaidi

English

Venezuela: Chávez Era to Extend for Six More Years · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Moyo wa kujitolea uliopotea siku nyingi umerejea tena kwa ari mpya.

English

The long-lost voluntarism is now back with a new spirit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Imetokea tena kwa mchoro niliokuwa nimeuchapisha kwa heshima ya Ai Weiwei.

English

It happened again with a nude that I later dedicated to Ai Weiwei.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Jikumbushe tena kwa kutazama video hii http://bit.ly/LxspGq

English

Refamiliarise yourself http://bit.ly/LxspGq

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nashauri uendelee kung’ang’ania tena kwa mikono yote miwili.

English

I suggest you hold on to it with both hands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Petro akakana tena kwa kiapo: "Simjui mtu huyo."

English

And again he denied with an oath, I do not know the man.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kwa baadhi ya nyakati za usiku umeme ulikatika, tena kwa baadhi ya masaa...

English

On several nights the electricity went out, sometimes for hours...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hata shangazi zangu na bibi yangu hawakutaka kuwasiliana nami tena kwa kuwa waliogopa sana kuwa kama serikali ingegundua kuwa walikuwa wanawasiliana nami, wangewadhuru.

English

Even my aunts and my grandma didn’t call me because they were so afraid that if the government found out they were in touch with me, they would harm them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baada ya miaka mitatu, muda wake gerezani uliongezwa baada ya kushtakiwa tena kwa uchochezi.

English

After three years, his prison term was extended after he was charged with sedition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika wakimbizi 43 duniani kote, wengi wao wanasemekana hawaweza tena kuonana na familia zao tena kwa sababu tu ya kukosa namna ya kuwasiliana nao.

English

Among the 43 million refugees worldwide, a staggering number of people will never see their family again because they simply have no means to reach them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Muswada uleule uliokuwa umewasilishwa mwaka 2009 umejitokeza tena kwa ajili ya kupigiwa kura nchini Uganda:

English

The same bill that was presented in 2009 is showing up again for voting in Uganda:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na ardhi mbaya haitoi ila mimea michache, isiyo na faida, tena kwa shida.

English

But as for the bad, it produces nothing but hardship and misery.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na ardhi mbaya haitoi ila mimea michache, isiyo na faida, tena kwa shida.

English

While the corrupted yields only the scanty.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mapatano ya mwanzoni mwa mwezi Machi yalipelekea makubaliano yaliyotangazwa tarehe 24 Machi na kuanza tena kwa mtiririko wa fedha.

English

Negotiations in early March led to an agreement announced 24 March and a resumption of the flow of money.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Rais wa Naija hivi sasa anaendelea na jitihada zake za kubadili katiba ili aweze kugombea tena kwa muhula wa tatu.

English

The president of Niger is currently trying to change the constitution so that he can run for a third term.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kiwango ambacho udanganyifu ulifanywa na vibaraka wa serikali tarajiwa ulikuwepo, hata katika uchaguzi mdogo kama hizi tena kwa nafasi ndogo kama udiwani, kinashangaza sana.

English

The extent to which pro-government fraud was present, even in the smallest elections and for the most irrelevant of positions, is striking.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mgogoro wa Burundi unaendelea leo, umechochewa na Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo kutaka kugombea tena kwa muhula wa tatu.

English

A conflict in Burundi continues today, sparked by President Pierre Nkurunziza's bid for a third term.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK