From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sehemu ya posti ya chipimo inasomeka hivi:
part of chipimo's post reads:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais chipimo, ni heshima kubwa kuwa nawe bungeni.
president chipimo, its an honour to have you in the house.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haki miliki ya picha ni ukurasa wa facebook wa elias chipimo.
photo courtesy of elias chipimo facebook page.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais wa chama cha narep (national restoration party elias chipimo.
president for the national restoration party (narep) elias chipimo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mhe spika aliweka ujumbe ufuatao kabla hajaweka hotuba nzima ya chipimo:
the hon speaker first posted the following message before he posted chipimo’s speech:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ningependa kwa hiyo kumpa changamoto mhe chipimo kuongoza madai ya kuikomboa zambia kutoka katika udhibiti wa lusaka.
i would therefore wish to challenge hon. chipimo to champion the cause of a free zambia from lusaka control.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mhe spika kwa kweli mgombea wa urais mhe elias chipimo ameibua hoja muhimu ambazo zinastahili kabisa kujadiliwa bungeni.
hon zapp speaker sir indeed presidential candidate hon.elias chipimo raises some important points that are worth debati ng in the house.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndugu mhe spika, naomba nimshukuru mhe chipimo kwa kuwasilisha hotuba yake na kwa kuwa mmoja wa viongozi wanaoelewa nguvu ya vyombo hivi vipya vya habari.
mr speaker sir, let me thank hon. chipimo for his submission and for being one the the leaders who understands the power of new media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
elias chipimo, rais wa (chama cha) narep ili aweze kulihutubia bunge hili rasmi kwa kutoa salaam za mwisho wa mwaka kutoka chama cha narep.
may we welcome hon elias chipimo, narep president to officially address this house by delivering end of year message from narep.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais wachama cha upinzani cha narep (national restoration party) elias chipimo jr. amekuwa mwanasiasa wa kwanza katika nchi hiyo “kulihutubia” bunge la facebook nchini zambia linaloaminika kuwa na wanachama 1,318 baada ya kuruhusiwa na “spika” kutuma ujumbe wake wa mwisho wa mwaka.
zambia’s opposition national restoration party (narep) president elias chipimo jr. has become the country’s first politician to “address” the make believe 1,318 member facebook zambian parliament after he was allowed by the “speaker” to post his end of year message.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: