From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sababu ilikuwa kwamba dhamiri yake ilimshtaki baada ya kuwa amewanyanyasa raia walioshiriki katika mkesha wa tukio la kuwasha mishumaa.
the reason was that he felt guilty after suppressing civilians who attended candlelight vigils.
ninamshukuru mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri safi kama walivyofanya wazee wangu; namshukuru kila ninapokukumbuka daima katika sala zangu.
i thank god, whom i serve from my forefathers with pure conscience, that without ceasing i have remembrance of thee in my prayers night and day;
kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki.
a young man who is serving his military service as police decided not to go back to his military unit after vacation and announced the declaration of conscience.
hata hivyo, kama ilivyopendekezwa na chan nim, masuala ya namna hii yanaachwa kwa mtu mwenyewe na dhamiri yake hasa kuhusu matumizi sahihi ya teknolojia hizi zinazoibuka.
however, as suggested by chan nim, the issue is left to the conscience of the people on the proper use of technologies.
katika macbeth ya shakespeare, binti macbeth anaanza kuosha mikono yake kwa shurutisho ili kujaribu kusafisha doa inayodhaniwa, akiashiria dhamiri ya hatia kuhusu uhalifu aliotenda na kumshawishi mumewe kutenda.
in shakespeare's macbeth, lady macbeth begins to compulsively wash her hands in an attempt to cleanse an imagined stain, representing her guilty conscience regarding crimes she had committed and induced her husband to commit.
maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?
for if any man see thee which hast knowledge sit at meat in the idol's temple, shall not the conscience of him which is weak be emboldened to eat those things which are offered to idols;
mathalan: watu wa mataifa mengine hawana sheria ya mose; lakini kila wanapotimiza matakwa ya sheria wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha sheria ingawa hawaijui sheria.
for when the gentiles, which have not the law, do by nature the things contained in the law, these, having not the law, are a law unto themselves:
sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.
for our rejoicing is this, the testimony of our conscience, that in simplicity and godly sincerity, not with fleshly wisdom, but by the grace of god, we have had our conversation in the world, and more abundantly to you-ward.
lakini, kwa damu ya kristo, mambo makuu zaidi hufanyika! kwa nguvu za roho wa milele, kristo alijitolea mwenyewe dhabihu kamilifu kwa mungu. damu yake itatutakasa dhamiri zetu kutokana na matendo yaletayo kifo, ili tupate kumtumikia mungu aliye hai.
how much more shall the blood of christ, who through the eternal spirit offered himself without spot to god, purge your conscience from dead works to serve the living god?