Results for finyu translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

finyu

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mara nyingi ni za kuelemea upande mmoja, zenye mtazamo finyu, zinazochanganya na zinazojipinga.

English

it is often biased, short-sighted, confusing and contradictory.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mbinu nyingine kama hizo zinazowasaidia watu wanaolima mahali penye nafasi finyu zinaelezwa na watu wengine kwenye mtandao wa youtube kutoka sehemu mbalimbali duniani.

English

other techniques which are useful for people growing food in limited spaces are shared by other people on youtube from different parts of the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuzungumza lugha moja kunasababisha kuwa na mtazamo finyu, kuyatazama mambo kwa uelewa mdogo kwa sababu ya ukweli kwamba maarifa yote ayanayopatikana yanakuwa kwenye lugha moja tu.

English

monolingualism encourages insularity, a restricted worldview in which the only knowledge available to one is from one linguistic source.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

1) vyama vya siasa vya upinzani vitaongeza upinzani wao kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni, baada ya kupewa nafasi finyu katika vyombo vya habari vya magazeti na televisheni.

English

1) opposition parties will continue to fight the hardest through online media, after being granted limited access to print and electronic media

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

madhara hayalingani kwa wanafunzi kutoka jamii zisizojiweza ambao wanafursa finyu za kielimu kando na shule.idadi ya wanafunzi wanaoacha shule inaonekana kuongezeka kutokana na kufungwa kwa shule kwa sababu ya changamoto ya kuhakikisha kwmaba wanafunzi wote wamerejelea masomo pindi shule zikifunguliwa.

English

the disadvantages are disproportionate for under-privileged learners who tend to have fewer educational opportunities beyond school.student drop-out rates tend to increase as an effect of school closures due to the challenge of ensuring all students return to school once school closures ends.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,373,042 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK