From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na haiwi muumini kumuuwa muumini ila kwa kukosea.
a believer may not kill another believer, unless it is by mistake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wala haiwi kwa mwenyezi mungu kukujuulisheni mambo ya ghaibu.
allah will not let you see the unseen.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na haiwi kwa wana-mji tulio uangamiza, ya kwamba hawatarejea,
(it is ordained that) no village we have destroyed shall return
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
uislamu ni sehemu ya maisha yao, lakini huwa haiwi kama ilivyotarajiwa.
islam is a part of their life, but it doesn't get in the way.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haiwi kwa mwenyezi mungu kuwa na mwana, subhanahu, yeye ametakasika!
allah is not one to take to himself a son.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na haiwi mtume alete ishara yoyote ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.
a messenger is not supposed to show a miracle without the permission of god.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na haiwi kwa mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya mwenyezi mungu.
and it was not for a messenger to bring a sign except by allah's leave.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haiwi kuwa makafiri ndio waamirishe misikiti ya mwenyezi mungu, hali wanajishuhudishia wenyewe ukafiri.
idolaters should not inhabit the mosques of allah bearing witness against themselves with disbelief.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haiwi kwa mwenyezi mungu kuwaacha waumini katika hali mliyo nayo mpaka apambanue wabaya na wema.
allah is not one to leave the believers in the state wherein ye are until he hath discriminated the impure from the pure.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na haiwi kwa mwenyezi mungu kuwahisabu watu kuwa wamepotea baada ya kwisha waongoza mpaka awabainishie ya kujiepusha nayo.
allah is not one to leed a people astray after he hath guided them until he hath made manifest unto them that which they should guard against.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wala haiwi kwa mwenyezi mungu kukujuulisheni mambo ya ghaibu. lakini mwenyezi mungu humteua katika mitume wake amtakaye.
allah is not going to disclose to you what is hidden in the realm beyond the reach of perception, but he chooses from among his messengers whom he wills (to intimate such knowledge).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema: haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yenye sura.
he answered, “it does not befit me to prostrate myself to a human whom you have created from sounding clay made out of black smelly mud.”
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
haiwi kwa mwenyezi mungu kuwa na mwana, subhanahu, yeye ametakasika! anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: kuwa!
it beseems not allah that he should take to himself a son, glory to be him; when he has decreed a matter he only says to it "be," and it is.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting