Results for hii si idadi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

hii si idadi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nani anadhani hii si kawaida????

English

who thinks this is strange????

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uteuzi wa aina hii si jambo rahisi.

English

these are not simple appointments.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini je, hii si kinyume cha sheria?

English

but isn't this illegal?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii si kukulinda tu, bali pia wale unaogusana nao.

English

this is not just to protect you, but also those you come in contact with.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kile tulichokishuhudia asubuhi hii si habari ya venezuela uliyodhani unaielewa.

English

what we have this morning is no longer the venezuela story you thought you understood.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ah, ngoja, hii si namna ya kawaida kabisa ya kujihusisha na dini?

English

oh, but wait, isn’t this a typical pattern of involvement with a religion?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii si mara ya kwanza vyama vya siasa vya mrengo wa kushoto kukabiliwa na madai ya kudumaza tunu zake za kimaendeleo.

English

this is not the first time political parties from the left faced accusations of letting down their own "progressive" values.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hata hivyo, inavyoonekana, hukumu hii si mwisho wa mambo kwa morsi, kwa sababu shauri hilo linaendelea.

English

this is not all for morsi, as the trial continues.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi hii si ya kikundi chochote cha wanajeshi –iwe wa aridhini ama ama wa kwenye magari ya kijeshi ya hemvee!

English

this country is not for any group of soldiers - be they on foot or in humvees!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mifano ya vikwazo ambavyo unaweza kukabiliana navyo katika baadhi ya sehemu za uchina (hii si orodha kamili):

English

examples of restrictions that you may encounter in some parts of china (this is not an exhaustive list):

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kitu kidogo ambacho wa-zambia wanaweza kutegemea ni kwamba viongozi wa kisiasa katika nchi hii si tu waitazame filamu hii ya uchunguzi bali wachukue hatua madhubuti.

English

the least zambians can hope for is that political leaders in the country not only get to watch the documentary but do something about it as well.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anuani husika inadai kuwa “ukurasa rasmi,” kwa kuweka alama angavu ya kijani, ingawa hii si namna ambayo mtandao wa vkontakte hutambulisha kurasa maalumu.

English

the account in question does claim to be an “official page,” displaying a green checkmark denoting as much, but this is not how vkontakte formally recognizes official pages.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeyote aligawanya ardhi kwa 'wahamiaji' kuvuka mpaka kwenda kwenye nchi nyingine...siwezi kusema 'karibu' kwa sababu hii si nchi yangu.

English

whoever divided these grounds for 'immigrants' to cross borders to another country... i won't say 'welcome' because this is not just my country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini waziri wa ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo rais ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.

English

if the certificates are useless, torn, paper why did ahmadinejad's minister pretend to have one... it is not the first time that ahmadinejad calls official documents torn papers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,790,319,979 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK