Results for hujishughulisha translation from Swahili to English

Swahili

Translate

hujishughulisha

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ningependa ninyi msiwe na wasiwasi. mtu asiye na mke hujishughulisha na kazi ya bwana jinsi atakavyompendeza bwana.

English

but i would have you without carefulness. he that is unmarried careth for the things that belong to the lord, how he may please the lord:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye amegawanyika. mwanamke asiyeolewa au bikira hujishughulisha na mambo ya bwana apate kujitolea mwili na roho kwa bwana. lakini mwanamke aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii jinsi atakavyompendeza mumewe.

English

there is difference also between a wife and a virgin. the unmarried woman careth for the things of the lord, that she may be holy both in body and in spirit: but she that is married careth for the things of the world, how she may please her husband.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nigeria si nchi inayofahamika kuwa na viongozi wanaowasiliana na umma.wanasiasa wa ngazi za juu hujishughulisha kwa nadra sana kuwasiliana na wapiga kura wao, na mara nyingi kuna malalamiko kwamba sauti za watu huwa hazipewi nafasi.

English

nigeria is not a country known for its responsive leaders. high-level politicians rarely engage with the electorate, and it's commonly complained that the voice of the people goes unheard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,634,772 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK