Results for ikionesha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ramani ya google ikionesha jimbo la angelo:

English

google map of alengo's constituency:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sehemu ya filamu hiyo ikionesha tukio la kutekwa kwa mwanamke kwa njia ya farasi.

English

a scene from "difret" depicts the horseback kidnapping of the main character.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

picha ya video ya you tube iliyowekwa na a ren tv ikionesha kushambuliwa kwa raia wa ethiopia.

English

a screenshot of a youtube video posted by ren tv showing an attack on an ethiopian national.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha ya mchoro: ramani ikionesha eneo ilikoanguka ndege ikiw ni pamoja na njia ya ndege mh17

English

infographic: crashsite map incl. mh17 flight path - pic.twitter.com/jkpwujav8u — florian witulski (@vaitor) july 18, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

don osborne anajadili habari iliyowekwa kwenye tovuti ya chuo kikuu cha olivet nazarene ikionesha ramani ya "lugha za pili kuzungumzwa zaidi duniani."

English

don osborne discusses a news feature on the olivet nazarene university website showing a map of "the second most spoken languages around the world."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

gaure mdee (@profesy) alitwiti picha hii kutoka katika mji wa stone town, zanzibar ikionesha watu wakifuatilia ziara ya obama kupitia televisheni moja ya tanzania:

English

gaure mdee (@profesy) tweeted this image from stone town, zanzibar showing people watching his visit on local television:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye makala ya vkontakte (mtandao wa kijamii maarufu wa kirusi), kadyrov alipakia vido fupi iliyokuwa ikionesha watu takribani nusu dazeni waliokuwa wamesimama kwenye mstari huku wakiwa wameinamisha vichwa vyao kwa aibu.

English

in a post on vkontakte (russia’s most popular online social network), kadyrov shared a short video featuring roughly half a dozen men standing in a row with their heads bowed in shame.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,644,931 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK