Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tarehe ya kuanza kazi
start date
Last Update: 2024-09-11
Usage Frequency: 1
Quality:
tarehe ya kuanza kwa dalili
date of onset of symptoms
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
maandamano yalitawanywa kwa ukatili na polisi takribani nusu saa baada ya kuanza.
the protest was violently dispersed by the police roughly half an hour after it began.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mapema baada ya kuanza kwa kipindi cha pili simba wakafanya mabadiliko mawili.
soon after the start of the second half simba made two changes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyanzo vinasema kuwa ethiopia itaweza kutoa huduma maji safi ya kunywa kabla ya tarehe ya mwisho ya kufikiwa kwa malengo ya milenia.
sources revealed that ethiopia will provide a supply of clean water before the millennium development goals deadline
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jifikirie kuwa baada ya kuhitimu kwa masomo ya uhandisi wa ujenzi, umeamua kuanzisha duuka la kuuza vifaa na nyenzo za uhandisi wa ujenzi
write down any ten devices you'll put in your store
Last Update: 2022-08-31
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alikuwa amezama kwenye kitabu lakini kana kwamba alikuwa na hisia ya sita, alibaini macho yangu ndani ya sekunde chache baada ya kuanza kumuangalia.
she had been immersed in a book but as though she had a sixth sense, she caught my gaze within seconds of it falling on her.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na lau kuwa mwenyezi mungu alipenda wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi. lakini walikhitalifiana.
had allah willed, those who succeeded them would not have fought against one another after the clear verses came to them.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
antibodi kikawaida zinaweza kugunduliwa siku 14 baada ya kuanza kwa maambukizi.mapema aprili, uingereza ilipata kuwa hakuna kifurushi cha kipimo cha antibodi ilichonunua kuwa bora kutumika.
the antibodies are usually detectable 14 days after the onset of the infection.in early april, the uk found none of the antibody test kits it purchased were sufficiently good to use.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na wako malaika wangapi mbinguni, ambao uombezi wao hautafaa chochote isipo kuwa baada ya mwenyezi mungu kutoa idhini kwa amtakaye na kumridhia.
and how many an angel is there in the heavens whose intercession does not avail at all except after allah has given permission to whom he pleases and chooses.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
umenifanya ninywe kitu ambacho siwezi kukaa bila chochote nilichowahi kujua lm nikitumaini kuwa baada ya homa hii nitahudumia najua lm acting a bit crazy strung out kidogo crazy mkono juu ya moyo lm praying that i'm gonna make ni kuishi
you got me sipping on something i can't camper to nothing i've ever know lm hoping that after this fever i'll servive i know lm acting a bit crazy strung out a little bit crazy hand over heart lm praying that lm gonna make it out a live
Last Update: 2022-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jambo la huzuni ninalotaka kusema hapa, ni kuwa baada ya miaka 3, mtu ambaye nilitarajia na kutumaini kuwa angenipokea kama nilivyo, hajaweza kuikubali hali na ananiangalia kama vile sijatimia.
the sad thing that i would like to address here is, that after 3 years, the person i hoped and wished to be able to accept me for what i am, still cannot accept it and look at me as i am incomplete.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chombo vya habari libertas kilibainisha kuwa masaa kadhaa baada ya kuanza kwa mjadala huo wa mtandaoni kuhusu 'kuchemka' kwa ivanov kwenye televisheni, baadhi ya video zenye maudhui ya mahojiano hayo yanayojadiliwa zilikuwa zimeondolewa kwenye mtandao wa youtube .
the web portal libertas noted that several hours after the beginning of the online discussion about ivanov's clumsy television appearance, several videos containing content from the interview in question were removed from youtube .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika visa vilivyokosa tarehe ya kuanza, tarehe ya kuanza ilikadiriwa kwa kuondoa siku 4 (muda wa kati kutoka kuanza kwa dalili hadi kukusanywa kwa data miongoni kwa visa vilivyo na tarehe zinazojulikana kwenye data hizi) kutoka wakati mapema zaidi sampuli ilipokusanywa.
for cases with missing onset dates, date of onset was estimated by subtracting 4 days (median interval from symptom onset to specimen collection date among cases with known dates in these data) from the earliest specimen collection.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uoevu mwingine, kama vile benzalkonium chloride na chlorhexidine gluconate (kemikali ya upasuaji), hazifanyi kazi vizuri. katika utafiti huko hong kong study, sampuli za mate zilichukuliwa kwa wastani wa siku mbili baada ya kuanza kulazwa hospitalini.
other solutions, such as benzalkonium chloride and chlorhexidine gluconate (a surgical disinfectant), are less effective.in a hong kong study, saliva samples were taken a median of two days after the start of hospitalization.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kezarovski aliandika makala kuhusu masaa ya mwisho mwisho ya mladenov, akitumia ushahidi uliogunduliwa na waandishi wa gazeti la kila siku liitwalo nova makedonija, kubainisha kuwa baada ya polisi kuondoka katika eneo hilo la tukio lililokuwa linalindwa isivyo kawaida, ushahidi mwingi uliachwa huko, ikiwa ni pamoja na risiti ya kulipa ushuru wa maegesho na sehemu za gari hilo.
kezarovski wrote an article about mladenov's last hours, based on the evidence found by the nova makedonija daily's team, revealing that after the police left the heavily-guarded crime scene, much evidence was left there, including paid toll bills and parts of the vehicle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hizi zinaweza kutumika kugundua maambukizi ndani ya watu kuanzia siku 7 baada ya kuanza kwa dalili, kubaini kinga ya mwili, na ufuatiliaji wa watu.majaribio yanaweza kufanywa kwenye mahabara ya kati ya (clt) au kwa upimaji katika maeneo ya utunzaji (poct).
these can be used to detect infection in individuals starting 7 days or so after the onset of symptoms, to determine immunity, and in population surveillance.assays can be performed in central laboratories (clt) or by point-of-care testing (poct).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alama habari ya #menagainstrape imeanza kuvuma kwa mara nyingine, wakati huu nchini pakistani, habari zinadai kuwa baada ya babulal gaur, waziri wa mambo ya ndani wa india, alitoa matamshi haya kuhusu ubakaji, 'wakati mwingine ni sahihi, wakati mwingine huwa ni makosa'.
the #menagainstrape hashtag started trending again, this time in pakistan, reportedly after babulal gaur, an indian state minister, said this about rape, 'sometimes it is right, sometimes it's wrong'.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: