From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hii ni nchi ambayo imetengeneza wanawake kadhaa wanasiasa wenye nguvu kubwa, kitambo kirefu kabla hata marekani haijaanza kulitaja somo hilo – indira gandhi ni mfano mmojawapo.
this is the same country that has produced a great number of enormously powerful female politicians long before america even honestly broached the subject - indira gandhi being the case in point.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vinod sharma pia analijadili suala la “benki ya kura” kwa kutumia majadiliano ya kubuni kati ya wanawake watatu wenye nguvu – mayawati (waziri mkuu wa jimbo la uttar pradesh) ambaye ni wa tabaka la “dalit” (tabaka la chini), maneka gandhi (mkwe wa indira gandhi) ambaye ni mwanaharakati za haki jamii, haki za binaadamu na za wanyama na sonia gandhi (wifi aliyetengwa wa maneka) ambaye pia ni mkuu wa chama cha congress.
vinod sharmaalso discusses “vote bank” through an imaginary exchange of words between three powerful women- mayawati (chief minister of uttar pradesh) who is a “dalit” (lower caste), maneka gandhi (indira gandhi’s daughter-in-law) and prominent social and animal rights activist, and sonia gandhi (maneka’s estranged sister-in-law) and congress party supreme.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: