From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mpango uliopendekezwa wa google/apple unakusudia kushughukia tatizo la uchunguzi wa kuendelea kwa kuondoa utaratibu wa ufutaji kutoka kwa mfumo wa uendeshaji wa kifaa chao baada kukosa kuhitajika tena.
the proposed google/apple plan intends to address the problem of persistent surveillance by removing the tracing mechanism from their device operating systems once it is no longer needed.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
fox news, ambayo mara nyingi hukosolewa kwa kuelemea kwake upande mmoja katika masuala yanayohusiana na uhamiaji na siasa mgando, inasemekana kuitisha wazo la "uchunguzi kwa waislamu" walio jeshini.
fox news, often criticized for its bias on issues related to immigration and conservative politics, is reportedly calling for the "screening of muslims" in the army.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa mujibu wa waanzilishi, paula goes na diego casaes – ambo walikutana kwenye twita na ambao hivi sasa wanashirikiana kwenye mradi wa global voices online, mradi huo una nia ya kukuza uraia hai na wenye jicho la uchunguzi, uraia ambao unachabanga baadhi ya mazoea yasiyo ya kidemokrasia na yasiyoeleweka kama ilivyoelezwa hapo juu.
according to paula góes and diego casaes, its creators - who met via twitter and now collaborate on global voices online, the project is to promote critical and active citizenship, that challenges some of the arcane and undemocratic practices mentioned above.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.