Results for jammeh translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

jammeh

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

asante yahya jammeh.

English

thank you yahya jammeh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rais wa gambia yahya jammeh akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa septemba 24, 2013.

English

president of the gambia yahya jammeh addresses the united nations general assembly on 24 september, 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kujitoa kwa gambia ya yahya jammeh kutoka jumuiya ya madola inatosha kuwa habari hasi kwa mwaka mzima wa taarifa za magazeti.

English

yahya jammeh's gambia withdrawal from the commonwealth is more negative publicity worth one year's newspaper reporting.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa siungi mkono vitendo vya mauaji na sera mbovu za baba jammeh, ninaunga mkono kujitoa kwake kutoka jumuiya ya madola.

English

although i don't subscribe to the summary executions and despotic policies of baba jammeh, i support his withdrawal from the commonwealth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati majadiliano juu ya mahusiano duni ya jammeh kidiplomasia yakiendelea, bado si bayana kile ambacho nchi hiyo masikini sana itakifaidi kwa kujitoa kwenye jumuiya ya madola.

English

while the discussion on the jammeh’s latest diplomatic rumbling continues, it remains unclear what the poorly impoverished nation will gain by quitting the commonwealth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mathew jallow, mwandishi wa habari raia wa gambia aliyefukuzwa nchini humo, aliichukulia hatua hiyo kuwa nzuri kuutangaza "ujinga" wa rais jammeh.

English

mathew jallow, an exiled gambian journalist, saw the move as good for publicising president jammeh's "stupidity".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jammeh, alitwaa madaraka kwa mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1994, kwa miaka mingi amekuwa akichukiwa na dunia kwa utawala wake wa kikandamizaji, utawala ambao umejaa mauaji, kubanwa kwa uhuru wa habari na maoni, kuuawa kwa mashoga, ukandamizaji mkubwa wa wapinzani wa kisiasa:

English

jammeh, who came to power in a 1994 coup, for years has earned the world's ire for his repressive rule, one that has been defined by executions, restricted freedom of the press and expression, persecution of homosexuals, and heavy-handed supression of political dissent:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,294,305 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK