From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
je, si haohao wanaolitukana hilo jina lenu zuri mlilopewa?
do not they blaspheme that worthy name by the which ye are called?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
je! si katika jahannamu makaazi ya wanao takabari?
in gehenna is there not a lodging for those who were proud?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
je! si katika jahannamu ndio yatakuwa makaazi ya makafiri?
is there not a dwelling in hell for disbelievers (in the oneness of allah and in his messenger muhammad saw)?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hapo yesu akasema, "je, si watu kumi walitakaswa? wale tisa wako wapi?
and jesus answering said, were there not ten cleansed? but where are the nine?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kama unazungumzia kwa kumaanisha kuhusu ustawi wa motto, je si vyema zaidi kwa familia nzima kuwa pamoja?
if you’re seriously talking about the welfare of the child, isn’t it best for the family to remain together?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na sasa naishi, lakini si mimi tena, bali kristo anaishi ndani yangu. maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani katika mwana wa mungu aliyenipenda hata akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.
i am crucified with christ: nevertheless i live; yet not i, but christ liveth in me: and the life which i now live in the flesh i live by the faith of the son of god, who loved me, and gave himself for me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hatusiti kuuliza: je si vizuri fedha hizi zikatumika kuboresha maisha ya watu wa jimbo la vologodsk?
we hesitate to ask: can this money we spent to improve life in vologodsk region.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je, si suala la kujipatia hazina kubwa namna hii inayoipa nchi nafasi ya kuangalia chaguzi tofauti, na siyo tu njia za kusimika masuluhisho yanayotoka juu kuja chini katika misingi ya mawazo ya kizamani?
is not the point of acquiring such largesse that it gives a country the chance to look at quite different options, not merely ways to impose top-down solutions based on old ideas?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maana bado mu watu wa kidunia. je, si kweli kwamba bado uko wivu na magombano kati yenu? mambo hayo yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.
for ye are yet carnal: for whereas there is among you envying, and strife, and divisions, are ye not carnal, and walk as men?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
na lau ungeli ona watavyo simamishwa mbele ya mola wao mlezi, akawaambia: je, si kweli haya? na wao watasema: kwani?
and if you see when they are placed before their lord, he will say, “is this not real (the truth)?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mmoja wa wale wahalifu waliotundikwa msalabani, alimtukana akisema: "je, si kweli kwamba wewe ndiwe kristo? basi, jiokoe mwenyewe, utuokoe na sisi pia."
and one of the malefactors which were hanged railed on him, saying, if thou be christ, save thyself and us.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"ndiyo maana nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula na kinywaji mnavyohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu. je, maisha ni chakula tu au zaidi? na mwili, je, si zaidi ya mavazi?
therefore i say unto you, take no thought for your life, what ye shall eat, or what ye shall drink; nor yet for your body, what ye shall put on. is not the life more than meat, and the body than raiment?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.