Results for jepesi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

jepesi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na hilo ni jepesi kwa mwenyezi mungu.

English

and that would be easy for god.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na jambo hili ni jepesi zaidi kwake.

English

for him this is very easy.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na jambo hili ni jepesi zaidi kwake. naye ndiye mwenye mfano bora katika mbingu na ardhi.

English

his is the highest description (i.e. none has the right to be worshipped but he, and there is nothing comparable unto him) in the heavens and in the earth.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ama aliye amini na akatenda mema basi atapata malipo mazuri. nasi tutamwambia lilio jepesi katika amri yetu.

English

"but as for him who believes (in allah's oneness) and works righteousness, he shall have the best reward, (paradise), and we (dhul-qarnain) shall speak unto him mild words (as instructions)."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza motoni. na hilo ni jepesi kwa mwenyezi mungu.

English

and whoever commits that through aggression and injustice, we shall cast him into the fire, and that is easy for allah.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

linapokuja suala la utamaduni wa kigeni, kujaribu kuelewa mafumbo si jambo jepesi, jinsi inavyoelekea; hiyo ni hata uwe umeoana na mtu anayetoka kwenye utamaduni huo.

English

when it comes to a foreign culture reading between lines does not come easily, it seems; even when you marry someone from that culture.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati kuandaa ibada hiyo ya wazi kulionekana kama ni wazo jepesi tu la kutekeleza, kwa mazingira ya china, ni kama hakuna uvumilivu wa aina yoyote kwa yeyote anayeonesha hisia hadharani, ikiwa ni pamoja na maombolezo, bila kulazimika kupitia mchakato mrefu na mgumu wa kupata idhini rasmi ya kiusalama.

English

while organizing a public vigil may sound like a rather simple idea to implement, there is very little tolerance for manifestations of public sentiment, even grief, in china's public space without a long and complicated process of securing official authorizations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,799,828,412 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK