From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kosa la jinai
a criminal offence
Last Update: 2023-02-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sheria ya jinai
criminal law
Last Update: 2021-07-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mazungumzo polisi na jinai
it was not me
Last Update: 2022-06-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunachokifanya ni sawa na jinai.
it is bordering on criminal already.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anatenda “jinai” akifanya biashara?
he commits a ‘crime’ if he does?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
unafikiri rb na wanawe watashitakiwa kwa jinai?
do you think rb and his sons will face criminal prosecution?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anakabiliwa na mashtaka ya jinai kwa wimbo huo.
he is facing criminal charges for the song.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
matayarisho ya tukio hili hayachukuliwi kama ni kosa la jinai.
not being prepared for such an incident is a crime in its own
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nimechoshwa na jinai za kutunga zinazoandaliwa ili kuwatupa watu fulani gerezani.
i am fed up with staged crimes designed to put some people in jail.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika china, upitishaji wa madawa ya kulevya unachukuliwa kama kosa la jinai.
in china, drug trafficking is considered as a felony.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
saudia arabia: ambako kuiga kazi kinyume cha haki miliki ni kosa la jinai
saudi arabia: where plagiarism is a crime · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mhe. katibu mkuu, tunajua unatutaka tufuate mataifa mengine kwa kutokuchukulia ushoga kuwa jinai.
mr sg, we know you want us to follow other nations by not criminalising homosexuality.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nataka kuchapa kazi, lakini nimechoshwa na mipango ya kingano ambapo tunalazimishwa kupeleleza jinai ambazo hazipo.
i want to work but i am fed up with fictional plans when we are forced to investigate crimes that don’t exist.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuna shaka kwamba makosa ya jinai ni doa katika mafanikio ya afrika kusini tangu kuzaliwa kwa demokrasia mwaka 1994.
there’s no doubt that crime is a blot on south africa’s achievements since the dawn of democracy in 1994.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mahakama ya jinai ya kimataifa imetoa agizo la kumkamata omer el-bashir kwa tuhuma za makosa katika vita.
the international criminal court issued an arrest warrant for omer el-bashir on charges of war crimes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kuzuiwa kwa takribani siku nzima, polisi waliwahukumu kwa kutumia vifungu tofauti tofauti vya sheria ya marekebisho ya makosa ya jinai.
after a daylong detention, the police charged them under different sections of criminal law amendment act.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
caballero anasema kwamba ‘maafisa hao walipandwa na ghadhabu na kumwambia esteban kwamba alikuwa anatenda kosa la jinai’.
caballero says that 'the agents were infuriated and told esteban that he was committing a crime'.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, nusu ya wale ambao mimi niliwaalika kwa ajili ya iftar mwaka jana wako jela, uhamishoni au ni watuhumiwa wa makosa ya jinai)
anyway, half of those who i invited for iftar last year are either in jail, in exile or are on the run :)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
taswira za jinai na uporaji, na hasa uporaji wa mahitaji yasiyo ya lazima, zilianzisha mjadala wa taifa kuhusu kutokuwepo kwa usawa kijamii na kiuchumi nchini chile.
the images of crime and looting, and especially the looting of non-essentials, began a national debate about existing social and economic inequalities in chile.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alihukumiwa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai mnamo tarehe 5 februari 2013 kutumikia kifungo cha maisha akiwa gerezani kwa makosa 334 ya mauaji, kubaka pamoja na uchomaji moto wa vitu mbalimbali.
he was sentenced to life in prison on 344 counts of murder, rape and arson by the international crimes tribunal on 5 february 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: