Results for jingo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

katika habari zinazohusiana na hizi, jumuia ya msalaba mwekundu ya myanmar ilitoa tamko kupitia kwa waandishi wa habari ikikanusha uvumi kuwa inafadhili ofisi ya oic iliyoanzishwa kinyemela katika jingo lao.

English

in related news, the myanmar red cross society issued a press release denying rumors that it is sponsoring a hidden oic office inside its building.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jingo lilipoporomoka, mwanamke huyo wa miaka 24 alizuiwa ndani ya msikiti uliokuwa sakafu ya ardhi na aliweza kustahimili kwa masaa 416 kwenye vifusi kwa kupumua kupitia kwenye bomba pamoja na kutafuta biskuti kwenyee vibegi vido vya mgongoni vya wenzake waliokuwa wameshapoteza maisha.

English

as the building collapsed, the 24-year-old was trapped in a mosque inside the basement and survived 416 hours there by breathing through a pipe and scavenging for biscuits in the rucksacks of dead colleagues.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa ripoti kutoka idhaa ya televisheni ya uingereza channel 4 (iliyotangazwa bila kujali amri ya kuyazuia mashirika ya nje kutangaza habari) umati wa watu ulitupa mawe na kuchoma moto jingo linalomilikiwa na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, wajulikanao kama basij.

English

according to a report on britain's channel 4 television, (aired in spite of a foreign reporting ban) a crowd threw rocks and set fire to a building that belonged to the pro-government basij militia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,155,057,376 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK