Results for jinsia ya watu wa umri ya kati ya... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

jinsia ya watu wa umri ya kati ya from to

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nguruwe pia ni ishara ya amani miongoni mwa makabila ya watu wanaoishi maeneo ya kati ya uwanda wa juu.

English

pigs are also the symbol of peace among the tribes in the central highlands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

virusi vya sars-cov-2 viliathiri watu wa umri wote, lakini wengi wa kati ya miaka 30-65.

English

sars-cov-2 infected people of all ages, but mainly at the age of 30-65.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila kujali mashaka yaliyopo, kumekuwa na mwamko mpya kati ya watu wa kizazi changu juu ya uchaguzi wa 2011.

English

regardless of the cynicism, there has been renewed vigor among the people of my generation regarding the 2011 elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sassou-nguesso alikuwa rais wa jamhuri ya watu wa kongo kati ya 1979 na 1992 na aliendelea kushikilia madaraka hata baada ya nchi hiyo kubadili jina na kuitwa jamhuri ya kongo kuanzia mwaka 1997.

English

sassou-nguesso was president of the people's republic of congo between 1979 and 1992 and has held the office in the renamed republic of congo from 1997.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo jingine ni kuwa, nilikuwa na mtizamo hasi kuwa mahusiano ya amani kati ya watu wa rangi tofauti ni sehemu ya maisha yetu kiasi kwamba hatuhitaji kulifuatilia kabisa.

English

for another, i had had the wrong assumption that harmonious race relations are so much a part of us that we don't need to work at it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa ni daktari mwanadada mtu wa malaysia ambaye katika hotuba yake iliyojaa hamasa alinishawishi kuwa mahusiano kati ya watu wa rangi tofauti yanaweza kuleta madhara leo kama ilivyotokea katika miaka ya 1960.

English

it was a malay lady doctor who in her impassioned speech convinced me that race relations can cause today, as much rawness as in the 1960s.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni hari ngumu, hasa kwa sababu moroko imekuwa ikichukliwa kama taifa la wastani ambalo linahimiza uhusiano wa amani kati ya watu wa imani tofauti.

English

its a rough situation, especially since morocco has been considered a moderate nation which encourages peaceful relations between peoples of different faiths.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchakato nyeti wa kuleta amani nchini nepal unasitasita katikati ya mapambano yanayozidi kuongezeka kati ya watu wa kundi la ki-mao na serikali.

English

nepal's fragile peace process is faltering amidst increasing clashes between the maoists and the government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

karata ya maadili inachezwa ili kurudisha hali inayokubalika, hisia na tabia halali kati ya watu hata kama njia itumikayo haitaheshimu tofauti za mila na desturi kati ya watu wa kanda hiyo.

English

the morality card is being played to produce desirable attitudes, sentiments and behavior among the population even if this strategy disrespects the diverse cultures in the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akimudu vizuri kati ya kazi zake za kitaaluma na kufanya kazi za kujitolea, hisham ametumia miaka yake mingi kujibidisha kuboresha maisha na uhai wa jamii ya watu wa morocco akiwa kama mtetezi wa jumuia za kiraia na pia kama mtabibu.

English

balancing profession and passion, hisham has spent many years working to improve the lives and well-being of moroccans, both as a civil society advocate and as a medical doctor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rwanda bado inauguza makovu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yaliyoteketeza maisha ya watu kati ya 800,000 na milioni moja, ikiwa ni asilimia 80 ya idadi ya watu wa kabila la watutsi ikiwa ni pamoja na wahutu wengi.

English

rwanda remains deeply scarred by the 1994 genocide of 800,000 to 1 million people, including 80 percent of the tutsi population as well as many hutus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaaminika kuwa afrika kusini ina idadi kubwa zaidi ya watu walio na vvu duniani – inakadiriwa kuwa watu milioni 5.7 kwa makadirio, kati ya walioathirikia, 280,000 ni watoto wa umri wa miaka chini ya 14 na kuna yatima milioni 1.4 nchini kutokana na ukimwi.

English

south africa is believed to have the highest number of people infected with hiv in the world — an estimated 5.7 million people. approximately 280,000 of those infected are children 14 and younger and there are 1.4 million orphans in the country due to aids.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hizi zinaweza kutumika kugundua maambukizi ndani ya watu kuanzia siku 7 baada ya kuanza kwa dalili, kubaini kinga ya mwili, na ufuatiliaji wa watu.majaribio yanaweza kufanywa kwenye mahabara ya kati ya (clt) au kwa upimaji katika maeneo ya utunzaji (poct).

English

these can be used to detect infection in individuals starting 7 days or so after the onset of symptoms, to determine immunity, and in population surveillance.assays can be performed in central laboratories (clt) or by point-of-care testing (poct).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yakobo, kefa na yohane, ambao waonekana kuwa viongozi wakuu, walitambua kwamba mungu alinijalia neema hiyo, wakatushika sisi mkono, yaani barnaba na mimi, iwe ishara ya ushirikiano. sisi ilitupasa tukafanye kazi kati ya watu wa mataifa mengine, na wao kati ya wayahudi.

English

and when james, cephas, and john, who seemed to be pillars, perceived the grace that was given unto me, they gave to me and barnabas the right hands of fellowship; that we should go unto the heathen, and they unto the circumcision.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huwa ninajiuliza kuhusu mtu ambaye katokea louisiana, mwenye historia ndefu ya kujichanganya na watu wa rangi tofauti, kwa kupitia mfumo wa utamaduni wa ukazi kati ya watu weupe na wanawake weusi (placage) kadhalika na utamaduni mchanganyiko wa jamii ya kispania na kifaransa nma weusi (creole), sasa hivi ghafla tu anaonekana kujali sana watoto.

English

i always wonder about a man who comes from louisiana, who has a strong history of race mixing, through the system of placage as well as creole culture, is now all the sudden concerned about the children.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,781,363,341 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK