From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
joyce kwa kiswahili
joyce in swahili's
Last Update: 2023-07-09
Usage Frequency: 2
Quality:
joyce banda akiongea katika kongamano la dfid la mwaka 2010.
joyce banda speaking at the dfid conference in 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kufuata katiba, makamu wa rais joyce banda atatwaa madaraka.
under the constitution, vice-president joyce banda takes over.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alisema kuwa malawi inatarajia makamu wa rais joyce banda ataongea na wana habari.
she said that malawi expects vice president joyce banda to address members of the press.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malawi voices iliripoti kuwa viongozi wa jeshi wamekubali kufuata katiba kwa kumuunga mkono joyce banda:
malawi voices reported that army chiefs have agreed to follow the constitution by supporting joyce banda:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
peter mutharika , muwache joyce achukue madaraka ikiwa hali itakuwa ilivyo, tunahitaji mafuta sasa…
peter mutharika , let joyce take over if status quo remains, we need fuel now...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jenerali huyo alimtaarifu joyce banda, peter mutharika na goodall gondwe kuwa jeshi litadumisha katiba na jambo lolote tofauti na hilo halitavumiliwa.
the general informed joyce banda, peter mutharika and goodall gondwe that the army will uphold the constitution anything other than that will not be entertained.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alieleza namna utajiri wake utagawanya na kumwomba rais aliyeko madarakani joyce banda, ambaye alimtumikia, kumsaidia kulipa ada ya shule kwa mwanae.
he also outlined how his wealth would be distributed and asked incumbent president joyce banda, under whom he served, to help pay the school fees for his child.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makala haya na taarifa ya redio ya joyce hackel wa kipindi cha the world yalichapishwa kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa pri.org mnamo januari 14, 2015 na yamechapishw atena kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana maudhui.
this article and a radio report by joyce hackel for the world originally appeared on pri.org on january 14, 2015 and is republished as part of a content-sharing agreement.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makala haya na taarifa ya redio iliyoandikwa na joyce hackel kwa ajili ya kipindi cha redio kiitwacho the world kilichoonekana kwanza kwenye tovuti ya pri.org mnamo mei 28, 2015, na kimechapishwa hapa kama sehemu ya makubaliano ya ushirikiano wa kimaudhui.
this article and radio report by joyce hackel for the world originally appeared on pri.org on may 28, 2015, and is republished here as part of a content-sharing agreement.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wafanyakati wa sekta ya umma waliomba ongezeko la mishahara kwa asilimia 65 ili kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha zilizotokana na hatua za kurekebisha hali ya uchumizilizochukuliwa na rais joyce banda, ikiwa ni pamoja na kuishusha thamani ya kwacha (sarafu ya nchini malawi).
public sector workers had asked for a 65 percent wage increase to combat a rising cost of living sparked by president joyce banda's tough economic reforms, including a devaluation of the local kwacha currency.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: