From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ukurasa huu ndiyo jukwaa lao.
this is their platform.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunatoa mechi bora zilizowekwa kwenye jukwaa hili
fixed matches
Last Update: 2024-12-29
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa la kiafrika lenye makala za bure za kitaaluma
an african platform for open access academic articles · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa jukwaa gumu kulitumia.
networks are nowdays a complex medium.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nitakuwa nikitarajia katika kushiriki lengo na kusudi la kawaida la jukwaa
objective
Last Update: 2024-01-06
Usage Frequency: 1
Quality:
pakistan: imran khan aanguka na kuumia akiwa kwenye jukwaa la kampeni
politically divided pakistan rallies around injured imran khan · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hakikisha kuwa matumizi ya programu na jukwaa tofauti haikiuki ufaragha wa data ya wanafunzi.
ensure that the use of applications and platforms does not violate students’ data privacy.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa hilo salama lilizinduliwa kwa ushirikiano na globaleaks, zana huru na inayoficha utambulisho wa mtumiaji.
the secure platform was launched in collaboration with globaleaks, an open source and anonymous whistleblowing software.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika jukwaa hili huru, simulizi hazifupishwi, na uzoefu unabaki kuwa ni urithi wa kila mmoja.
in this open space, the words are not abridged and experiences find a way of becoming a common, shared heritage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
epuka na kuwashughulisha sana wanafunzi na wazazi kwa kuwauliza kupakua na kujaribu programu nyingi sana au jukwaa tofauti.
avoid overloading students and parents by asking them to download and test too many applications or platforms.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hili ndiyo jukwaa lako la kuweka bayana mawazo yako kuhusu masuala ya kushughulikia wakati na baada ya uchaguzi wa rais.
this is your platform to share thoughts and advise on issues to address during and after the presidential elections.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa hilo la mtandaoni liliamsha majadiliano ya kusisimua, ambapo kulikuwa na ukosoaji wa kujenga kuhusu utendaji wa wizara hiyo.
the web forum generated an interesting discussion, including constructive criticism about the work of the ministry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa la uandishi wa kiraia kupitia mfumo wa ushahidi tayari limeanzishwa na jornal a verdade (@verdademz).
a citizen media ushahidi platform has been launched by jornal a verdade (@verdademz).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@reclaimnaija ni jukwaa pana linalojihusisha na ushirikishwaji maarufu wa wananchi wa chini katika kunadi uwazi wakati wa uchaguzi na serikali ya kidemokrasia.
@reclaimnaija is a broad based national platform for popular, grassroots engagement in promoting electoral transparency and democratic government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bado naendelea kukutana na kufanya kazi na watu niliokutna nao katika jukwaa lile kamambe na nina matarajio ya kukutana na watu wengine tena wenye vipawa vya pekee katika global pulse 2010.
i still meet and work with people i met in that truly remarkable jam and expect to meet other extraordinary individuals in global pulse in 2010.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu maarufu ya nawaat iliyoshinda tuzo na inayofanya kazi kwa ushirikiano na blogu nyingine imezindua jukwaa lake la mijadala ya kisiasa litakalotumika kuibua masuala nyeti: nawaat leaks.
tunisian award-winning collective blog nawaat has launched its own whistle-blowing platform: nawaat leaks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akiwa sehemu ya shule ya uandishi wa habari ya john s. knight katika chuo kikuu cha stanford, alianzisha hosh media, jukwaa la mtandaoni la uandishi wa habari kwa vijana.
while a john s. knight journalism fellow at stanford university, she launched hosh media, an online youth journalism platform.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.
the africa festival web is a platform for exchanges between experts, web enthusiasts and novices from around the world, where the current state of the affairs in the field of web development will be discussed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ilionekana kama ni wazo zuri “kuunganisha nukta zote” (kama jeff ooi anavyosema) baina ya watu hawa na kuunda jukwaa linalotokana na jamii hii inayokua.
it seemed like a good idea to "connect the dots" (as jeff ooi put it) amongst these people and create a platform for this emergent community.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting