Results for juu kwa juu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

juu kwa juu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

English

devour not usury, doubled and multiplied; but fear allah; that ye may (really) prosper.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

• tutengeneze fursa za kujipatia kipato cha juu kwa wote

English

• create opportunities for higher incomes for all

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni mwenyezi mungu ili mpate kufanikiwa.

English

believers, do not accept illegal interest in order to increase your wealth many times over. have fear of god so that you will have everlasting happiness.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika orodha mpya ya sectapply number kuonyesha stadi zako tatu za juu kwa mpangilio wa utangulizi

English

in the new sectapply numbered list to showcase your top three skills in order of preferencee

Last Update: 2024-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini takwimu zinaweza kuwa za juu kwa sababu maiti bado zinaendelea kuondolewa katika eneo hilo.

English

but the figures could be higher because dead bodies are still being retrieved in the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu.

English

such are the people who will be rewarded with high palaces for their fortitude,, wherein they will be welcomed with due respect, honour and salutations

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

japokuwa kwa juu juu, kambi za wakimbizi za leo hazionekani tofauti sana na vile zilivyokuwa miaka 30 au 40 iliyopita.

English

superficially at least, today’s refugee camps do not appear significantly different from those that existed 30 or 40 years ago.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uzuri usiomithilika wa ziwa kajaki kusini mwa afghanistani, kama unavyoonekana ukiwa juu kwa ndege ya royal air force chinnok.

English

the stunning beauty of kajaki lake in southern afghanistan, seen from a royal air force chinook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati mambo hayo yatakapoanza kutukia, simameni na kuinua vichwa vyenu juu, kwa maana ukombozi wenu umekaribia."

English

and when these things begin to come to pass, then look up, and lift up your heads; for your redemption draweth nigh.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

elimu ya juu kwa kawaida inajumuisha elimu ya shahada la kwanza na masomo ya shahada ya uzamili na uzamivu, pamoja na elimu na mafunzo ya kiufundi.

English

tertiary education is normally taken to include undergraduate and postgraduate education, as well as vocational education and training.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kilicho cha tofauti kuhusu maandamano haya ni ukweli kwamba hayakuratibiwa na vyama vya wanafunzi lakini yameandaliwa kwa kuanzia chini kwenda juu, kwa msaada wa vyombo vya habari vya kijamii mtandaoni.

English

what is so special about these protests is the fact that they have not been centrally coordinated by student unions but have been organized entirely bottom-up, with the help of online social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tofauti za kingamaradhi zinazohusiana na jinsia, kiwango cha wanawake kuvuta sigara kupunguka na wanaume kuwa na maradhi zaidi ya moja kama vile shinikizo la damu katika umri mdogo kuliko wanawake kunaweza kuwa kulichangia vifo vya juu kwa wanaume.

English

sex-based immunological differences, lesser prevalence of smoking in women and men developing co-morbid conditions such as hypertension at a younger age than women could have contributed to the higher mortality in men.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je! imekuwa ajabu kwa watu kwamba tumemfunulia mmoja wao kuwa: waonye watu, na wabashirie wale walio amini ya kuwa watakuwa na cheo cha juu kwa mola wao mlezi?

English

are the people astonished that a man who is one of them was commanded by us to warn them and to bring glad tidings to those who believe that they have a true precedence with their lord?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ilikuwa ni mara ya kwanza tangu mashindano ya mwaka 1976 kule motreal (wakati mtrinidadi hasley crawford alipochukua heshima ya juu) kwa muhindi wa magharibi kuleta nyumbani dhahabu katika mbio za mita 100.

English

this is the first time since the 1976 games in montreal (when trinidadian hasley crawford took top honours) that a west indian has brought home the gold in the 100m dash.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ecdc na ofisi ya eneo la ulaya ya who zimetoa miongozo ya hospitali na za huduma ya msingi ya afya ya kuelekeza rasilimali katika viwango kadhaa, pamoja na kuelekeza huduma za maabara kwa kupima covid-19, kufuta taratibu zilizopangwa iwezekanapo, kukaa mbali na kutenga wagonjwa walio na covid-19, na kuongeza uwezo wa huduma za utunzaji wa hali ya juu kwa kuwafunza wafanyakazi na kuongeza nambari ya vifaa vya kusaidia kupumua na vitanda.

English

the ecdc and the european regional office of the who have issued guidelines for hospitals and primary healthcare services for shifting of resources at multiple levels, including focusing laboratory services towards covid-19 testing, cancelling elective procedures whenever possible, separating and isolating covid-19 positive patients, and increasing intensive care capabilities by training personnel and increasing the number of available ventilators and beds.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,934,723,544 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK