Results for kaa ni ukweli translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kaa ni ukweli

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lakini ni ukweli nami ninaukiri.

English

but it is the truth and i admit that.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waweke wakfu kwa ukweli; neno lako ni ukweli.

English

sanctify them through thy truth: thy word is truth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mada hizi zisizotamkika ni ukweli wa mapenzi na mahusiano.

English

but these two unmentionable topics are also realities of love and relationships.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni ukweli wa kisiasa, uhalisia, lakini ndio ukweli wenyewe.

English

it is a political fact, true, but a fact nonetheless.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni ukweli unaoonekana wazi kwenye vipengele vyote vya maisha nchini humo.

English

it is a reality that can be seen in all aspects of life in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni ukweli kabisa, kwamba vigogo wajitafakari kwa nini mambo yamekuwa hivi.

English

very realistic, higher-ups should reflect on why things like this happen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kile mugabe alichosema kuhusu naijeria ni ukweli ila aliyasema hayo kwa watu wasio sahihi

English

what mugabe said about nigeria is true but he said it to the wrong people. — macharia mucheru (@mashromeo) april 12, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo tunaelewa kuwa ni ukweli mtupu kwamba ufaransa iliwaua wazazi wetu miaka 50 iliyopita

English

today we are understanding that it's true that france killed our parents 50 years ago

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii hususan ni ukweli kuhusu wazazi walio na uwezo wa chini wa elimu na rasilimali.

English

this is especially true for parents with limited education and resources.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini paulo akasema, "sina wazimu mheshimiwa festo: ninachosema ni ukweli mtupu.

English

but he said, i am not mad, most noble festus; but speak forth the words of truth and soberness.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa mtazamo mwingine, pia huenda ikawa ni ukweli kwamba binadamu wamezoea virusi hivi vinne vya hcov.

English

from another perspective, it might also be true that humans have been well adapted to these four hcovs.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafanikio mengine muhimu ni ukweli kwamba sita kati ya wanane waliofikia fainali hizo walikuwa wakitoka katika dola jirani.

English

just as significant an achievement was the fact that six out of the eight finalists were from regional territories.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

umri: umri ilikuwa kigezo muhimu katika kuchunguza sars, ambacho pia ni ukweli katika covid-19.

English

age: age was the most important factor for the prognosis of sars, which is also true for covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii hususan ni ukweli kati hali za kufungwa kwa utaratibu fulani.shule ni vitovu vya shughuli za kijamii na miingiliano ya binadamu.

English

this is especially true of protracted closures.schools are hubs of social activity and human interaction.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni ukweli, kuwa hali ngumu ya uchumi ni moja ya sababu zilizotajwa na milioni 700 duniani ambao wako tayari kuhama kutoka nchi zao za asili.

English

in fact, economic hardship is one of the key factors mentioned by the 700 million people worldwide who are eager to leave their countries of origin.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu ni ukweli mtupu; basi, kile tulichowaambia ninyi si jambo la "ndiyo" na "siyo".

English

but as god is true, our word toward you was not yea and nay.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika tukio lisilo na uwezekano wa kutokea kwamba basi hili tulilosikia ni ukweli, rais mwenye akili angeliiagiza benki kuu kimya kimya kuziondoa noti hizo bandia.

English

in the most unlikely event that this was true, an intelligent president would have quietly instructed boz to mop out the fake currency.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na kuwa ni vigumu kusema kama ni ukweli au sio mkweli, maoni ya kukejeli na matumizi ya lugha chafu ni kawaida sana katika kurasa za facebook nchini myanmar.

English

although it is hard to say whether it is true or not, hate comments using vulgar language are very common on facebook in myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kilicho cha tofauti kuhusu maandamano haya ni ukweli kwamba hayakuratibiwa na vyama vya wanafunzi lakini yameandaliwa kwa kuanzia chini kwenda juu, kwa msaada wa vyombo vya habari vya kijamii mtandaoni.

English

what is so special about these protests is the fact that they have not been centrally coordinated by student unions but have been organized entirely bottom-up, with the help of online social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(naye aliyeona tukio hilo ametoa habari zake ili nanyi mpate kuamini. na hayo aliyosema ni ukweli, tena yeye anajua kwamba anasema ukweli.)

English

and he that saw it bare record, and his record is true: and he knoweth that he saith true, that ye might believe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,917,848,608 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK