From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kadri
kadri
Last Update: 2021-04-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri inavyowezekana
as possible
Last Update: 2013-10-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nitawapasha kadri habari zitakapopatikana.
will update as more news is available.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
najitahidi kadri ya uwezo wangu
i will do my best.
Last Update: 2023-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri upinzani unavyozidi ndivyo ukandamizaji unavyoongezeka
as protest grows so does repression
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na hatuilazimishi nafsi ila kwa kadri ya uwezo wake.
we charge no soul with more than it can bear.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri liberia inavyotulia, vijana waanza kuzungumzia ngono
as liberia stabilizes, youth begin to talk about sex · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri siku zinavyozidi kwenda, nazidi kukupenda mpenzii wangu
i'm still loving my husband
Last Update: 2023-08-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, una tatizo lolote la shinikizo la damu kadri ujuavyo?
do you have any blood pressure problem as far as you know?
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
zitoe mapema kadri inavyowezekana, mapema kabla hazijaonekana kwingineko.
you must give it them as soon as possible, faster than anyone.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakuweza kuzuia machozi yake na kadri aliavyouliza moyo wake, nilijua nisingeweza kumwangusha.
she couldn’t hold back her tears and as she cried her heart out again, i knew that i couldn’t let her down.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri hali ikiendelea kua, upeo wa mwisho na hali ya athari ya mkurupuko huu bado haujabainiwa.
as the situation is rapidly evolving, the final scope and severity of the outbreak remain to be determined.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kadri ninavyozidi kukua, kujitoa kwangu kwa ajili ya simba kumepungua kwa kiasi fulani.
as i’ve grown older, my devotion to simba has waned somewhat.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri ya garimoshi lilivyoongeza mwendo, watu wawili walianguka kupitia mlangoni, chupuchupu kupoteza maisha.
as the train gathered speed quickly, some people fell from the door and two persons were miraculously saved from death.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bomu lililipuka katika kiwanja cha ndege cha domodedovo mjini moscow, kwa uchache vifo vya kadri ya watu kumi vimeripotiwa.
a bomb exploded at moscow's domodedovo airport, at least ten casualties reported.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri uchaguzi unavyokaribia, raia wa kwenye mtandao wanaombwa watume picha picha za uchaguzi kwenye tovuti ya ge2011 media.
as elections get nearer, netizens are encouraged to post photos of the elections in the ge2011 media website.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huo utakuwa msaada wa fedha wa dola bilioni moja ambao umeambatana na imani pamoja na ushauri, kadri ya mahitaji ya mpokeaji.
that would be a billion dollar of financial help coupled with goodwill and advice, tailored to the needs of the recipient.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aliwahi kusema kwamba "kadri utawala unavyonoa ngumi zake za chuma, ndivyo penseli yangu inavyozidi kuwa na makali!"
he once said that “as the regime sharpens their iron fists, my pen gets sharper!”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa msaada wako, tunaweza kufanya mtandao uwe na lugha nyingi kadri iwezekanavyo wenye kushamiri lugha tofauti tofauti, na sio kubagua baadhi ya lugha.
with your help, we can pave the way for a more multilingual internet where different languages are celebrated, not excluded.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri unavyozidi kwenda mbali na kile ulichozoea, ndivyo unavyozidi kujitambua, kwa sababu unatambua kwamba wewe ndiye uliyehitaji kuendelea kuishi."
but as the further from what you are familiar with, the more you will be able to find yourself, as you are aware you are the only one needed to survive."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting