Results for kama mtu kweli translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kama mtu kweli

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

usiwe kama mtu ambae hana akili

English

don't be like someone who doesn't mind

Last Update: 2023-03-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je, unaniona kama mtu wa muda mrefu katika maisha yako

English

do you see me as a long term person in your life

Last Update: 2024-02-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu ataeleza chochote kwenye habari, tafadhali niandikie.

English

if someone tells anything in news, please write me.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu huyu hakutoka kwa mungu, hangeweza kufanya chochote!"

English

if this man were not of god, he could do nothing.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

endalk chala anamzungunzia abel kama mtu mwenye kujali sana na wa kipekee kabisa.

English

endalk chala describes abel as the most kindhearted and wonderful soul.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu aliyekulia hawaai, najua anajua jibu la swali hili moyoni mwake.

English

as someone who grew up in hawaai, i know he knows the answer to this question in his heart.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu mweusi, michael jackson alikuwa na wajihi, sauti; kipaji.

English

as a black man, michael jackson had the looks, the voice; the talent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nakupenda na kukuheshim kama mtu sahihi kwangu sio kwamba chuo sijawaona hapana ila moyo wangu umekupenda wewe

English

my dear i am very happy to have you

Last Update: 2023-03-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hebu nikuulize swali moja, kwa jinsi gani mtu asipovaa nguo za ndani aanweza kukuathiri wewe kama mtu.

English

let me ask you one question, how does someone not wearing their underwear affect you as a person.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

2- kama mtu aukanaye uwapo wa mungu anaweza kuanzisha biashara inayowatumikia kutakuwa na kelele?

English

2- if an atheist starts a business that works will there be uproar?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; mtu yeyote akikwazwa, nami pia huwa na wasiwasi.

English

who is weak, and i am not weak? who is offended, and i burn not?

Last Update: 2014-05-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jambo la kinyume ni kuwa, anapenda kuonekana kama mtu mwenye mawazo huru na mpiganiaji wa uhuru wa habari na wa kujieleza.

English

the irony is, he would like to be seen as liberal and the fighter of press freedom and freedom of speech.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@ictjournalist: @gndhlovu namkumbuka kama mtu ambaye alianzisha mapinduzi barani afrika ambayo yameenea kila sehemu

English

@ictjournalist: @gndhlovu i remember him as a person who who started a revolution in africa which has spread all over

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aliacha shule akiwa na umri mdogo na baada ya muda, akafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani mpaka alipogunduliwa na andrew burchell kama mtu mwenye kipaji cha kuimba.

English

she dropped out of school at a young age and for quite some time, worked as a house help until she was discovered by andrew burchell as a talented singer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata polisi wanajua kwamba kama mtu ana bahati wanaweza kumrudishia vitu vyake binafsi kwa kutembelea sehemu ambayo aliibiwa (kwapuliwa).

English

even the police know that if one is lucky they can have their personal belongings back by visiting the place where they were robbed (mugged).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu yeyote atakataa kuwakaribisheni au kuwasikilizeni, basi mtokapo katika nyumba hiyo au mji huo, yakung'uteni mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.

English

and whosoever shall not receive you, nor hear your words, when ye depart out of that house or city, shake off the dust of your feet.

Last Update: 2023-09-24
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aliandika kuhusu jinsi walivyosherehekea sikukuu ya noeli kama familia pamoja na mtoto wao, hapo anaeleza jinsi mara nyingine inavyomwia vigumu kujaribu kuelewa maoni ya mkewe kama mtu asiyeamini katika mungu huku akishikilia matambiko fulani ya kiutamaduni ya kichina.

English

writing about the way they celebrated christmas as family with their son, he finds himself in a fix trying to make sense of his wife's atheist views and belief in traditional chinese rituals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sikilizeni enyi wenye madharau, shangaeni mpotee! kwa maana kitu ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho hamtakiamini hata kama mtu akiwaelezeni."

English

behold, ye despisers, and wonder, and perish: for i work a work in your days, a work which ye shall in no wise believe, though a man declare it unto you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama mtu ambaye ndiyo mara yake ya kwanza kwenda rwanda, ni vigumu mtu kutoshangazwa na kutoshabihiana kati ya matukio ya kutisha sana yaliyotokea miaka 15 iliyopita na hali inayoonekana kuwa ya utulivu mkubwa na ustawi wa aina yake inayotawala sasa nchini humo, ambapo nchi hiyo inaonekana kuwa kiini cha uchumi unashamiri kwa kasi wa afrika ya mashariki.

English

as i first-time visitor to rwanda, it’s hard not to be mystified by the mismatch between the ferocious events of just 15 years ago and apparent calm and prosperity in rwanda, which aspires to be the hub of an economically vibrant east africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama mtu mweupe yeyote angetamka “piga risasi wazulu” au “piga risasi waxhosa”, wangepata sababu ya kuwa na hofu kwa maisha yao.

English

if any white person uttered the words "shoot the zulu's" or "shoot the xhosa's", they would have reason to fear for their lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,785,708,854 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK