Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kama sio soko basi itakuwa msikiti.
either the market or the mosque.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wala suala sio wewe kuwa muislamu au mimi kuwa mkristo.
it's not about you being a muslim and me being a christian.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
cpy – ni mtandao wa wajamaa kama sio mwanachama wa facebook – huna maana kwao
cpy - socialist networking if you are not a facebook member - you are a nobody
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wengi kama sio wote miongoni mwa wanablogu hawa ni kati ya waandishi wa habari wa kiraia walio maarfu zaidi.
most if not all these bloggers are among the famous citizen journalists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na hatuzungumzii watu ishirini ama thelathini kwenye uwanja, tunazungumzia mamia, kama sio maelfu ya wenyeji wanaoendeleza hii kelele inapasua masikio wakati wote wa mchezo.
and we’re not talking about twenty or thirty people in the stadium, we’re talking about hundreds, if not thousands, of locals keeping a deafening racket during the entire match.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama serikali ikisema kutokana na sababu moja au nyingine kwamba filamu kwa mfano, haikubaliki na haitakiwi, wengi wa watu, kama sio wote, wasingeweza kuiona.
if the government says for a reason or another that a film for example is unacceptable and not wanted, the majority of the population, if not all, will not get to see it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunahitaji sauti kutoka sehemu tofauti tofauti, hata wale wapinzani walio mbali kabisa ya wigo wa mantiki na wasio na manufaa, wahusishwe kwa kila jambo na wahamasishe midahalo kwa moyo na kama sio kwa kuguswa, kuliko kujenga muafaka mwingine wa kuonesha na kusema.
we want diverse voices, even oppositional ones that sit at the far ends of the fence of logic and possibility, to get to the bottom of matters and stimulate a hearty, if not heart-felt, discussion, rather than another consensus building show-and-tell.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
utani mara zote umekuwa ni mbinu inayofanikiwa sana kufikisha ujumbe (ndio, kwamba mtu fulani ambaye sio wewe au mwanaharakati mwenzako anaelewa tatizo) na kuifikia hadhira kubwa zaidi (ndiyo, zaidi ya makundi ya mtandaoni ya watu wanaokuhisi na kusambaza ujumbe wako).
humor has always been a successful tactic to transmit causes in an empathetic way (yes, someone who is not you or your fellow activists understands the problem) and reach larger audiences (yes, beyond the lxs groups of usual suspects that always retweet you).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: