Results for karibu nyumbani wakati wowote translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

karibu nyumbani wakati wowote

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

karibu nyumbani

English

very close to home

Last Update: 2022-05-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

karibu nyumbani rafiki

English

welcome home friend

Last Update: 2018-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati wowote wakati wa chai

English

cook a meal

Last Update: 2020-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hili halijawahi kutokea wakati wowote kabla.

English

this has never happened before.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

richard barrow @michael_sp34 sikuhisi hofu wakati wowote leo.

English

richard barrow @michael_sp34 i did not feel threatened at any time today.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati wowote unapomwona mzee amekaa mwenyewe, mtazame kwa mara ya pili!!

English

whenever you see an elder person sitting all alone, look again!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanablogu wa kenya ory okolloh hategemei kuwa afrika itabadilishwa na kublogu katika wakati wowote hivi karibuni.

English

kenyan blogger ory okolloh doesn't expect africa to be transformed by blogging any time soon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maskini mnao daima pamoja nanyi; mnaweza kuwasaidia wakati wowote mnaopenda. lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima.

English

for ye have the poor with you always, and whensoever ye will ye may do them good: but me ye have not always.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ikiwa wakati wowote kati ya ziara zako unahisi kuwa dalili zako zozote zinakusababisha shida yoyote, au una maswali yoyote wakati wa utafiti tafadhali usisite kuwasiliana nami

English

if at any time between your visits you feel that any of your symptoms are causing you any problems, or you have any questions during the study please do not hesitate to contact me

Last Update: 2024-04-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna mtu aliyemwona mungu wakati wowote ule. mwana wa pekee aliye sawa na mungu ambaye ameungana na baba, ndiye aliyetujulisha habari za mungu.

English

no man hath seen god at any time; the only begotten son, which is in the bosom of the father, he hath declared him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lazima tufahamu kwamba hii ilikuwa ni hila ya utawala wa zamani wa mubarak, kuyaacha mashirika hayo yafanye kazi zake bila leseni ili kuweza kuyafunga wakati wowote yanapovuka mstari.

English

you must know that this was the trick of the old mubarak’s regime , to let those ngos to work without any licensing in order to close those organizations whenever they are crossed the red line .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku hizi, wakati wowote ambapo mvua huanza kunyesha, ninaanza kuhisi hofu na wasiwasi," elizabeth kpossou, mkaazi wa kijiji, anasema.

English

today, anytimes the rain starts to fall, i'm geeting scared and anxious " says elizabeth kpossou, a resident of the village.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kiongozi yeyote anayebeba nyaraka nyeti ya kumwezesha kusafiri kidiplomasia hapaswi, kwa wakati wowote ule, kubeba bendera ya kidini, achilia mbali kuhubiri imani zake za kidini katika nchi ya kigeni.

English

a representative who carries an official privileged diplomatic pass should not, at any time, harbor a religious flag, let alone preach his/hers religious beliefs on foreign soil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hospitali ya moyo mtakatifu (sacred heart hospital) ni hospitali kamili ikiwa na kila kitu kuanzia wafanyakazi, timu za wanaojitolea wa aina zote yaani walio kazini na wale walio tayari kuingia kazini wakati wowote.

English

hopital sacre coeur (sacred heart hospital) is full-service hospital, fully staffed, volunteer teams both on site and standing by, ready to go.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alisema anga imekuwa kimya kwa muda wa saa moja na nusu hivi huko khan younis, lakini meli za kivita zilikuwa zinaendelea kushambulia sehemu za mwambao.sauti yake likuwa imara, kama vile ilivyokuwa wakati wowote kabla ya mauaji kuanza, na aliniambia nisihofu sana.

English

he said the sky had been quiet for about half an hour over khan younis, but the warships were attacking the shore. his voice was strong, just like it was when i'd talk to him at any time before the massacre began, and told me to not worry so much.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rais anayemaliza muda wake denis sassou n’guesso na chama chake cha rassemblement de la majorité présidentielle (rmp) anatabiriwa kushinda uchaguzi huo wakati ambapo tume ya uchaguzi inajiandaa kutangaza matokeo wakati wowote kuanzia jumatatu jioni.

English

outgoing president denis sassou n’guesso and his rassemblement de la majorité présidentielle (rmp) is widely tipped to win the elections as the country’s electoral commission prepares to announce the results anytime from monday evening.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa matumizi ya picha au picha za vyombo vya habari vya kielektroniki kama ilivyotambuliwa hapa chini katika uwasilishaji wowote wa aina yoyote na ya kila aina. ninaelewa kwamba ninaweza kubatilisha idhini hii wakati wowote kwa kuarifu _________ kufutwa hakutaathiri hatua zozote zilizochukuliwa kabla ya kupokea taarifa hii iliyoandikwa. picha zitahifadhiwa katika eneo salama na wafanyikazi walioidhinishwa tu ndio watapata huduma hiyo. zitatunzwa ilimradi ziwe muhimu na baada

English

for the use of the photograph(s) or electronic media images as identified below in any presentation of any and all kind whatsoever. i understand that i may revoke this authorization at any time by notifying _____________________________ in writing. the revocation will not affect any actions taken before the receipt of this written notification.

Last Update: 2023-01-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

endapo vyeti havina maana, ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote, hivi basi kwa nini waziri wa ahmadinejad alijihangaisha kutafuta walau cheti hicho feki ... na hii si mara ya kwanza ambapo rais ahmadinejad anaita (anakebehi) nyaraka muhimu kuwa ni makaratasi yanayoweza kuchanwa wakati wowote kumaanisha kwamba hayana maana.

English

if the certificates are useless, torn, paper why did ahmadinejad's minister pretend to have one... it is not the first time that ahmadinejad calls official documents torn papers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maabara ya ramani za google inajaribu mahali pa nduni za jaribio ambazo haziko tayari kwa wakati mkuu. huenda begin_boldwakabadilishaend_bold, begin_boldkuvunjaend_bold au begin_boldkupoteaend_bold wakati wowote.

English

google maps lab is trying to replace experimental features that aren't ready in time. they may begin_boldlinkend_bold, begin_boldbrokenend_bold or begin_bold disappearend_bold at any time.

Last Update: 2021-03-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,778,813,215 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK