Results for katika kikundi kililiyo anzishwa ... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

katika kikundi kililiyo anzishwa 1905

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ni nadra kwa wafanyakazi katika kikundi hiki cha hatari huhitaji kutumia mashine ya kusaidia kupumua.

English

workers in this risk group rarely require use of respirators.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo la kwanza, sikuweza kutambua namna wazee wa singapore walivyojisikia kwa kunyimwa haki ya kumiliki na kutengwa hadi pale mzee mmoja mchangamfu kutoka katika kikundi changu alipotoa maoni yake.

English

for one, i didn't realize that the elderly in singapore felt such a sense of dispossession and rejection until one elderly gentleman from my group said his piece.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waligundua kwamba muda unaohitajika kwa kurejesha nyuzi joto ya mwili, kupotea kwa dalili na kulazwa hospitalini ulipungua pakubwa katika kikundi cha wm+tcm kuliko kikundi cha wm pekee.

English

they found that the times needed for body temperature recovery, symptom disappearance, and hospitalization were remarkably shorter in the wm+tcm group than in the wm only group.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutoka katika kikundi cha wanawake kinachodai kuwa kimeifanya mali kuwa nguvu katika nyanja ya kutia rangi nguo, mpaka kwa wasanii ambao wameamua kuufanya mtindo wa bamako au mtindo wa nguo zinazotiwa rangi kwa matope kuwa ni chapa yao, mpaka kwenye nyanja ya utalii ambayo imekua kwa njia ya hii sanaa.

English

from a women's group which claim to have placed mali as a power in the cloth dying industry, to artists who have decided to make bogolanfini or mud dyed cloths their medium, to the touristic industry that has grown around this art.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kikundi cha facebook "sos, stop! – queremos a jornalista milocas de volta" (tunahitaji mwandishi milocas arudi) tayari kina wanachama 5,775.

English

on facebook the group "sos, stop! – queremos a jornalista milocas de volta" (we want journalist milocas back) already has 5,775 members.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maambukizi mengi yaliyokadiriwa ya hali hizi miongoni mwa wale walio katika kikundi hiki cha mapema cha wagonjwa wa covid-19 nchini marekani na uwezekano wa hatari ya juu wa ugonjwa mbaya zaidi covid-19 kutokana na kuwepo kwa hali sugu ukiangazia umuhimu wa kuzuia covid-19 miongoni mwa watu walio na hali sugu za afya.

English

the estimated higher prevalence of these conditions among those in this early group of u.s. covid-19 patients and the potentially higher risk for more severe disease from covid-19 associated with the presence of underlying conditions highlight the importance of covid-19 prevention in persons with underlying conditions.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matokeo mema zaidi ni kuwa, viwango vya hali ya wagonjwa wenye dalili kuwa mbaya zaidi (kutoka kwa hali hafifu hadi mbaya zaidi) ilipungua pakubwa kwa kikundi cha wm+tcm kuliko kwa kikundi cha wm pekee (7.4% dhidi ya 46.2%) na viwango vya vifo vilipungua katika kikundi cha wm+tcm kuliko kikundi cha wm pekee (8.8% dhidi ya 39%).

English

most impressively, the rate for symptomatic worsening (from light to severe) was remarkably lower for the wm+tcm group than for the wm only group (7.4% versus 46.2%) and the mortality was lower in the wm+tcm group than wm only group (8.8% versus 39%).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,793,282,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK