From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na kama hiyo haitoshi, katika mwendelezo zaidi, @nayzek anaandika kwenye twita:
and if this is not enough, in a further development, @nayzek tweets:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuoza watoto wao huonyesha mwendelezo wa maisha ya kijamii na thamani ya familia kwenye jamii.
marrying off sons and daughters symbolizes the continuation of community life and the supremacy of the family in society.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
moja ya sababu kubwa imekuwa ni mwendelezo wa kutokuwa na utulivu wa kisiasa, jambo linaloizidi uwezo jamii.
one of the basic reasons has been the continuous instability overwhelming the society.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zunar amekuwa mkosoaji wa kodi mpya (gst) iliyobuniwa na serikali na anaiona kuwa ni mwendelezo wa hali ya juu wa vitendo vya ufisadi.
zunar has been critical of the new taxes (gst) imposed by the government and what he sees as continuing corruption in high places.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sehemu ya nchi hiyo ilisherehekea mwendelezo wa mapinduzi ya bolivia" chini ya chávez, wakati upande mwingine ukilalamikia kupoteza uchaguzi kwa mara nyingine.
part of the country celebrated the continuation of the 'bolivarian revolution' under chávez, while the other side lamented another electoral loss.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
meena ameshatoa ujumbe wa kupinga ndoa za utotoni na utamaduni wa utoaji mahari, ikiwa ni pamoja na kupigia chapuo matumizi sahihi ya vyoo, kuwapeleka watoto wa kike shuleni, usawa wa kijinsia miongoni mwa watoto wa kike na wa kiume pamoja na haki ya elimu kwa wafanyakazi wa ndani.
meena has spread messages to stop child marriage and the practice of dowry and promote healthy toilet use, sending girls to school, equality between boys and girls and the right to education for the domestic workers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.