Results for kimaadili translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kimaadili

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mtanziko wa kimaadili

English

ethical dilemma

Last Update: 2024-04-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

un:dhimmi pia anaamini kuwa jambo hili ni kosa kimaadili.

English

un:dhimmi also believes that it is morally wrong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala yake, wale walio wagonjwa, kimaadili hutakiwa kutokuitimiza hija yao.

English

rather, those who are ill are morally obliged to not perform haj.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@figure007 alidhani kuwa mugabe alisema ukweli, ingawa hana uhalali wa kimaadili:

English

@figure007 felt that although mugabe said the truth, he has no moral justification:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninafarijika kuwa chumba cha mahakama ambamo usaliti huo ulitokea kimeoshwa kwa mikono na kimaadili kwa kutumia haki.

English

i am glad that the courtroom where betrayal took place has been washed up physically and morally by applying justice.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kibuule hana ubavu wa kimaadili kutoa matamshi hayo yanayohusiana na maadili hasa sote tukijua jamaa ana wake wengi @dailymonitor

English

#kibuule is morally incompetent to give any substantial opinion on moral issues esp considerin the fact that hes a polygamist @dailymonitor — linda (@lindanek) september 24, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama laura seay anavyoeleza katika tafsiri ya tovuti ya slate afrique, makala hii inaibua masuala kadhaa ya kimaadili :

English

as laura seay explains in a translation on slate afrique, this article raises several ethical issues :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni somo gani ambalo jamii iliyopotoka kimaadili inaweza kujifunza kutoka kwa askofu au padri ambaye anazaa watoto kiholela katika jamii yake?

English

what lessons can an already morally impoverished society learn from a bishop or priest who fathers children haphazardly in his community?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anahitaji mtu kumtetea kwa namna alivyowatetea wasichana wa kimisri wakati waongo walipodai kwamba wanasubiri kudanganya kuhusu ubikra wao ili kufunika ukosefu wao wa kimaadili.

English

she needs someone to defend her the way she defended egyptian girls when imposters claimed that they are waiting for the fake hymen to cover up for their immorality.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

linda (@lindanek), mfanyabiashara wa ki-ganda, alikejeli mamlaka ya kimaadili aliyonayo waziri:

English

linda (@lindanek), a ugandan businesswoman, ridiculed the minister’s moral authority:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

#dershowitz ameonyesha mkanganyiko wa wa kurithi kimantiki marekani; kuifanya afrika kuwa ya kizamani na kuiona afrika kusini kuwa yenye uchafu wa kimaadili

English

#dershowitz aptly demonstrates genetic fallacy pervasive in #america;analogise #african with villainy #southafrica http://t.co/kell7coh2p — progress4afrika (@hustlechowindar) march 5, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kukiri, kwa kizazi cha sasa, wapo wanawake wengi ambao sio tu kuwa hawazingatii mambo ya kimaadili, bali pia hawazingatii mambo muhimu ya msingi kuhusiana na afya zao.

English

regrettably, in our modern society there are so many women who do not consider not only the morals aspects of abortions, but even the elementary of their own health.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa ningependa kubadilisha uelekeo kutoka kwenye upande unaokerehesha na kuburudisha wa sherehe kwa ajili ya upande ule unaofaa kimaadili na unaochosha, nilishuhudia wasaa wa kuangusha taya wakati wa kumchuna mnyama tendo ambalo siwezi kujizuia kuliandika hapa.

English

though i'd like to divert the focus away from the gruesome and entertaining aspects of the celebration in favor of the more wholesome and boring ones, i did witness a jaw-dropping moment during the disemboweling of the animal that i cannot resist writing about here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hukumu hiyo imehoji kwa nini wamiliki/watengenezaji/waendeshaji wa tovuti/kurasa hizo wasipelekwe mbele ya sheria kwa kupandisha mtandaoni maudhuri yasiyo na nidhamu ya kimaadili.

English

the ruling has also demanded why hosts/creators/administrators of the website/pages should not be be brought to justice for uploading indecent materials.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hukumu hii inaweka msisitizo wa sheria ya makosa ya jinai (au, ningeongeza, sheria ya maadili ya baraza la watumishi wa sekta ya afya afrika kusini kwamba haiwezekani kutekeleza jambo lolote lililo kinyume na misimamo ya kidini au kimaadili kwa mtu yeyote.

English

the judgment thus confirms that the criminal law (or, i would add, the ethical rules of the hpcsa ) cannot be used to enforce the moral, religious or ethical beliefs of some on everyone.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uadilifu na uwajibikaji: ununuzi bora unawawajibisha watendaji wake kutekeleza na kutii sheria. inawafanya kuwa chini ya changamoto na vikwazo, ikiwa inafaa, kwa kupuuza au kupindisha sheria hizo. uwajibikaji mara moja ni kichocheo kikuu kwa uwazi wa mtu binafsi na wa kitaasisi, kizuizi kikuu cha njama na ufisadi, na hitaji kuu la uaminifu wa ununuzi. masuala ya kimaadili ni miongoni mwa baadhi ya vikwazo katika kufikia thamani ya fedha. watu i

English

integrity and accountability: good procurement holds its practitioners responsible for enforcing and obeying the rules. it makes them subject to challenge and to sanction, if appropriate, for neglecting or bending those rules. accountability is at once a key inducement to individual and institutional probity, a key deterrent to collusion and corruption, and a key prerequisite for procurement credibility. ethical issues are amongst some of the obstacles in achieving value for money. people i

Last Update: 2021-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,624,149 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK