From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa chungu, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani.
neither do men light a candle, and put it under a bushel, but on a candlestick; and it giveth light unto all that are in the house.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
"hakuna mtu anayewasha taa na kuifunika kwa pishi, bali huiweka juu ya kinara ili watu wanaoingia ndani wapate kuona mwanga.
no man, when he hath lighted a candle, putteth it in a secret place, neither under a bushel, but on a candlestick, that they which come in may see the light.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"watu hawawashi taa na kuifunika kwa chombo au kuiweka mvunguni. lakini huiweka juu ya kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga.
no man, when he hath lighted a candle, covereth it with a vessel, or putteth it under a bed; but setteth it on a candlestick, that they which enter in may see the light.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ikiongozwa na mwandishi wa habari michael penn, mchangiaji wa al-jazeerawa mara kwa mara, anwani ya twita ya sna ni namna nzuri ya kubaki kuwa kinara wa kutangaza habari zinazotokea nchini japani.
headed by journalist michael penn, a frequent contributor to al-jazeera, the sna twitter feed is a good way to stay on top of breaking news in japan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: