Results for kinawaka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

"miaka arobaini ilipotimia, malaika wa bwana alimtokea mose katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto kule jangwani karibu na mlima sinai.

English

and when forty years were expired, there appeared to him in the wilderness of mount sina an angel of the lord in a flame of fire in a bush.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka wafu, hata mose alithibitisha jambo hilo katika maandiko matakatifu. katika sehemu ya maandiko matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto, anamtaja bwana kama mungu wa abrahamu, isaka na yakobo.

English

now that the dead are raised, even moses shewed at the bush, when he calleth the lord the god of abraham, and the god of isaac, and the god of jacob.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"huyu mose ndiye yule watu wa israeli waliyemkataa waliposema: ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi wetu? kwa njia ya yule malaika aliyemtokea katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto, mungu alimtuma mose huyo awe kiongozi na mkombozi.

English

this moses whom they refused, saying, who made thee a ruler and a judge? the same did god send to be a ruler and a deliverer by the hand of the angel which appeared to him in the bush.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,737,805 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK