From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanaojitolea kwa ajili ya bangladesh crowdsourced volunteers kupitia mtandao wa facebook kwa ajili ya kusaidia michakato ya uokoaji.
volunteers for bangladesh crowdsourced volunteers via facebook to help the rescue operations.
je, wanawake nchini uganda wanapata ushiriki katika katika michakato yote ya kisiasa na kufanya maamuzi nchini uganda?
do women in uganda have full access to participation in all political process and decision making in ug? #mpsengage pic.twitter.com/8oz5plwdk1 — parliament watch (@pwatchug) february 25, 2015
demokrasia inadai ushirikishaji huru wa raia kwenye michakato ya kisiasa, na hiyo inahusisha pia haki ya kukosoa, na haki ya kuamua serikali inayokuwa madarakani.
democracy demands the active participation of citizens in the political process, and that includes the right to criticise, and the right to decide the government of the day.
namita anatarajia kuanza masomo yake ya shahada ya uzamivu (ph.d) ya utafiti huko uingereza kuhusu michakato na taathira ya video shirikishi.
namita will soon begin her ph.d. research in the uk on the processes and impact of participatory video.
"mfumo wa mahakama una sifa ya kuingiliwa na siasa, utendaji usioridhisha, upendeleo kwa watu fulani fulani, michakato mirefu ya kimahakama, na ufisadi."
"political interference, inefficiency, favoritism toward well placed persons, prolonged judicial processes, and corruption characterized the judicial system."
katika uchaguzi ambao “raia wengi hawana ufahamu wa karibu wa michakato ya msingi ya uchaguzi, wanapinga ushindani wa vyama vingi na wana mashaka kama uchaguzi utakuwa wa haki,” miradi hii inaweza kuwa na nafasi muhimu katika kuwaelimisha watu na kuorodhesha matatizo yanayoweza kujitokeza katika mchakato wa upigaji kura.
in an election where "many citizens are unfamiliar with basic election processes, are opposed to multi-party competition and have doubts about whether the vote will be fair," these projects may play critical roles in educating people and documenting possible problems with the voting process.