Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
capitals kremlin anaichukulia vuvuzela kama kipiga kelele kinachokera kuliko vyote:
capitals kremlin considers the vuvuzela the most annoying noisemaker:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vgtrk ambayo ni makzi ya dmitri kiselyov, anayefahamanika kwa jina la utani mkuu wa propaganda wa kremlin.
vgtrk is the home of dmitri kiselyov, who is known informally as the kremlin’s chief propagandist.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mabibi na mabwana, caps kremlin anayofuraha kuwaletea: kipiga kelele kinachokera zaidi duniani, vuvuzela.
ladies and gentlemen, caps kremlin is pleased to present to you: the world's most annoying noisemaker, the vuvuzela.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kadiri moscow inavyojaribu kuimarisha ushiriki wake kwenye vita vya nchini syria, jamii kubwa ya kimataifa imekuwa ikifuatilia na kujadili kwa ukaribu kuhusiana na azma ya urusi nchini syria, wakihoji ikiwa msaada wa kremlin kwa rais bashar al-assad ni msaada muafaka kwa kampeni ya magharibi ya kulitokomeza kundi la isis, ambayo pia inahusisha na harakati za kumuondoa madarakani assad.
as moscow appears to be expanding its military presence in syria, many around the world have been busy debating russia’s agenda in that country, asking if the kremlin’s support for president bashar al-assad is compatible with the west’s campaign against isis, which includes efforts to remove assad from power.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: