Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini mafarisayo na walimu wa sheria walikataa mpango wa mungu uliowahusu wakakataa kubatizwa na yohane.
but the pharisees and lawyers rejected the counsel of god against themselves, being not baptized of him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kabla ya kuja kwake yesu, yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.
when john had first preached before his coming the baptism of repentance to all the people of israel.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, yohane akaenda katika sehemu zote zilizopakana na mto yordani, akihubiri watu watubu na kubatizwa ili mungu awaondolee dhambi.
and he came into all the country about jordan, preaching the baptism of repentance for the remission of sins;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akawaambia, "hamjui mnachoomba! je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa, au kubatizwa kama nitakavyobatizwa?"
but jesus said unto them, ye know not what ye ask: can ye drink of the cup that i drink of? and be baptized with the baptism that i am baptized with?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini yohane alijaribu kumzuia akisema, "je, wewe unakuja kwangu? mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe."
but john forbad him, saying, i have need to be baptized of thee, and comest thou to me?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
filipo akasema, "kama unaamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa." naye akajibu, "naam, ninaamini kwamba yesu kristo ni mwana wa mungu."
and philip said, if thou believest with all thine heart, thou mayest. and he answered and said, i believe that jesus christ is the son of god.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting