From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
watu walikuja kupiga kura, na wakasubiri kura zihesabiwe, bila ya kubugudhiwa na wahuni wenye bunduki, kama ilivyokuwa mwaka 2007.
people came out to vote, voted, and even waited for the votes to be counted, without being intimidated by gun-trotting hoodlums, as was the case 2007.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mike gilgio mwandishi wa daily beast anaandika kuwa wakati si jambo lisilo la kawaida kwa wanawake kubugudhiwa kijinsia wakati wa maandamano ya umma nchini misri, katika maandamano haya wanaume walionyesha mwenendo wenye heshima zaidi kwa wanawake katika kile kilichoitwa maandamano yenye udhu - ambayo kwayo dhana ya maandamano ya umoja dhidi ya dola yana umuhimu zaidi ya mikwaruzano ya kijinsia.
daily beast journalist mike gilgio writes that while it is not uncommon for women to be sexually harassed during public demonstrations in egypt, this time around men were behaving in a more respectful manner towards women in what has been dubbed the purity protests - where the idea of rallying around a unifying struggle against the state is more important than gender-based conflicts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: