Results for kubuni translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kubuni

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

husema: hadithi za kubuni za watu wa kale!

English

they answer: "they are merely tales of olden times!"

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa hiyo nikachukua kalau na kubuni mashine ambayo misri inaihitaji wakati huu

English

so i took a pen and designed a machine egypt needs in this phase

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

2.kubuni mkondo wa utafutaji masoko kupitia mtandao unaowezekana kwa ajili ya makampuni ya kenya

English

2.create viable online marketing channel for the kenyan companies

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

1.kubuni na kuhamasisha utoaji habari kupitia mtandao zinazohusu nchi yetu zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu

English

1.create and promote high quality online local contents and innovations

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisichofahamika, bila shaka, ni muda uliotumiwa kubuni na katika uundaji wa katuni, na pia upangiliaji wa vifaa vilivyokuwa juu ya meza.

English

what it conceals, most likely, is hours of design and animation work, as well as careful choreographing of the gadgets on the table.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hivi karibuni zaidi, nchi za afrika kama zetu, zimefanya mageuzi makubwa ili kuwezesha kubuni biashara na kutoa mazingira mazuri kwa ajili ya maendeleo ya biashara.

English

however, more recently, african countries like ours, undertake major reforms to facilitate business creation and provide a favourable climate for business development.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye mtandao, filamu hiyo ilisababisha maoni yaliyopishana, huku baadhi ya watu wakichukua mtizamo kuwa filamu ina mtizamo wa kibaguzi dhidi ya wanaijeria, wakati wengine waliitetea kama wakilisho la kubuni lenye chembe ndogo ya ukweli.

English

online, the movie provoked varied reactions, with some taking the view that the film presents a racist view of nigerians, while others defended it as a fictional representation with little bearing on reality.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chanjo ya b'a covid-19 ni chanjo ya kubuni ya kuzuia ugonjwa wa virusi vya korona 2019 (covid-19).

English

b'a covid-19 vaccine is a hypothetical vaccine against coronavirus disease 2019 (covid-19).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwezi agosti mwaka huu, mchambuzi abdihakim ainte (@abdikhakim) anayeandikia tovuti ya al-monitor alidhani kuwa kuzidiwa nguvu kwa kikundi hicho nchini somalia na majeshi ya uganda na kenya kumekilazimu kubuni mbinu mpya ya kigaidi kufanya vita.

English

in august of this year, analyst abdihakim ainte (@abdikhakim) writing on the website al-monitor suggested that the defeats experienced by the group in somalia at the hands of ugandan and kenyan troops has forced it to adopt a more guerrilla and assymetrical type of warfare.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,328,762 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK