Ask Google

Results for kufanyika translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kufanyika

English

DONE

Last Update: 2013-04-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uchaguzi wa Rais ulipangwa kufanyika tarehe 9 Aprilli 2011.

English

Presidential election were planned for 9 April 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uchaguzi wa magavana wa majimbo umepangwa kufanyika Aprili 26.

English

This post is part of our special coverage Nigeria Elections 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Uchaguzi wa Rais umepangwa kufanyika tarehe 25 Oktoba, 2013 :

English

The presidential election is set to commence on October 25, 2013 :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Maandamano yaliyopangwa nchini humo yamezimwa na mamlaka kabla ya kufanyika.

English

Planned protests in the country have been stifled by the authorities before they can take place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Namna usajili utakavyofanyika kwa mafanikio ndiyo itakuwa kiashiria cha uchaguzi kufanyika.

English

The extent to which the registration would be held successfully should be indicative of the likelihood of the election taking place.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wakati wengine wakihitaji mambo mengine zaidi kufanyika mbali na kusali:

English

While others called for more than prayer:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mashindano hayo kufanyika kwenye ardhi ya Afrika.

English

It was the first time the tournament had ever taken place on African soil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hatimaye Misri imepata rais mpya katika uchaguzi wa tatu kufanyika baada ya miaka mingi.

English

Egypt has a new president in the third elections it has had in as many years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hii lazima kufanyika katika ngazi ya kitaifa na muhimu zaidi, katika ngazi za mitaa

English

This should be done at the national level and most importantly, at the local level

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mwisho wa mwezi Aprili ndio kikomo kwa mujibu wa katiba, hivyo italazimika kwa uchaguzi kufanyika.

English

The end of April is the upper limit according to the constitutional requirements for when elections must hold.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lucky Tan naye hajashawishikana ilani hiyo na anaonya kwamba ufumbuzi uliopendekezwa umeshawahi kufanyika huko nyuma:

English

Lucky Tan is not impressed with the manifesto and warns that the proposed solutions have been done before:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Michango ya mara kwa mara haitozwi kodi nchini Marekani, na inaweza kufanyika kupitia ukurasa wetu wa Kuchagia.

English

Regular donations are tax-deductible in the U.S, and can be made through our Donate page.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Rina Dewan aliandika katika ukurasa wake wa Facebook akieleza sababu za kufanyika kwa kitendo hiki cha kikatili:

English

Rina Dewan posted on her Facebook wall regarding the reason behind this heinous crime:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mpango wa siri unaonekana wazi kufuatia mapinduzi kufanyika majuma machache tu kabla ya uchaguzi ambao tayari umeshapangwa :

English

Conspiracy theories abound as to why a coup is being staged only few weeks before the scheduled elections :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Juu katika orodha kwa wa-Naijeria wengi bila shaka ni uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Aprili.

English

Top on the list no doubt for most Nigerians is the general elections scheduled for April.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Tunayo furaha kubwa kutangaza mkutano wetu mdogo unaopagwa kufanyika Alhamisi ya Aprili 17 jijini Lagos, Naijeria.

English

We are pleased to announce the next Global Voices Meetup is scheduled for Thursday, April 17 in Lagos, Nigeria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nathan Nemo alionyesha hofu kuhusu idadi ya marekebisho yanayoweza kufanyika kwenye ukurasa wa Wikipedia unaoelezea maisha ya Mubarak.

English

Nathan Nemo was worried about how many times Mubarak's Wikipedia page should be updated.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nadhani inatakiwa kufanyika pote, hata kwenye maeneo ya kazi ya utawala wa juu watumie vyoo hivyo hivyo!

English

I think it should be done across the board, even at work places top management sharing the same toilets!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Hii ilikuwa ni mara ya tatu kwa tukio hili la mwaka kufanyika na ni vizuri kuona idadi ya washiriki inaongezeka kila mwaka.

English

This was the third time the annual event was being held and it is nice to see the number of participants increase every year. Indonesian bloggers tend to be a varied bunch, not just in geography but also in terms of age and profession.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK