From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kisha, kuhani mkuu na wenzake waliokuwa wa kikundi cha masadukayo wa mahali hapo, wakawaonea mitume wivu.
then the high priest - rose - up, and all they that were with him, (which is the sect of the sadducees,) and were filled with indignation,
basi, wakampeleka yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na walimu wa sheria walikuwa wamekutanika.
and they led jesus away to the high priest: and with him were assembled all the chief priests and the elders and the scribes.
hakuna mtu awezaye kujitwalia mwenyewe heshima ya kuwa kuhani mkuu. kila mmoja huteuliwa na mungu kuwa kuhani mkuu kama alivyokuwa aroni.
and no man taketh this honour unto himself, but he that is called of god, as was aaron.
kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.
for every high priest taken from among men is ordained for men in things pertaining to god, that he may offer both gifts and sacrifices for sins:
yeye hakusema hivyo kwa hiari yake mwenyewe, bali kwa vile alikuwa kuhani mkuu mwaka huo, alibashiri kwamba yesu atakufa kwa ajili ya taifa lao;
and this spake he not of himself: but being high priest that year, he prophesied that jesus should die for that nation;
kuhani mkuu wa kiyahudi huleta damu ya wanyama katika mahali patakatifu na kuitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.
for the bodies of those beasts, whose blood is brought into the sanctuary by the high priest for sin, are burned without the camp.