From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
watu wana haki ya kuheshimiwa.
a pple out to be respected.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
waandamanaji wanapigania uhuru wa kuishi watakavyo na kushinikiza haki ya kuheshimiwa.
protesters are rallying for liberty and demanding their rights be respected.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.
marriage is honourable in all, and the bed undefiled: but whoremongers and adulterers god will judge.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
jumbie's watch anaandika kuhusu utawala na kuheshimiwa kwa sheria katika nchi ya trinidad & tobago.
jumbie's watch writes about governance and the rule of law in trinidad & tobago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ban aliwatolea mfano watu wafanyao mapenzi ya jinsia moja, wasagaji na mashoga kuwa ni watu ambao haki zao zinahitaji kutambuliwa na kuheshimiwa na watu wote.
mr. ban notes homosexuals, lesbians and gays are people whose rights need to be dignified and respected by mankind.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni utaratibu wa lazima kabisa kwa nchi ya china kuheshimiwa watu wazima na kuwatunza wazazi kwa kadiri ya umri wao unavyosogea, lakini aina mpya ya maisha imewalazimu vijana wadogo huondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha yao.
it is strong tradition in china to respect the elderly and take care of parents as they get older, but modern lifestyles has meant that young people leave home for their own love and career.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akiwa kijana na mwenye nguvu, khusta aliandaa mgomo wa kiuchumi dhidi ya biashara zinazomilikiwa na makaburu kushinikiza madai ya watu weusi ya kuheshimiwa -kuheshimiwa utu wao na serikali ya makuburu wa afrika kusini.
young and energetic, khusta led an economic boycott of downtown white-owned businesses in port elizabeth to leverage black people’s demands for better treatment -humane treatment by the apartheid government of south africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kusababisha mshangao kote barani afrika kwa matamshi aliyoyatoa mbele ya vyombo vya habari siku moja kablda, elysée ilisema "inalaani ghasia zozote na inaunga mkono uhuru wa kujieleza. anatoa mfano wa hotuba yake aliyoitoa jijini dakar mnamo novemba 29, 2014 alizungumzia matarajio yake kwa katiba zote kuheshimiwa na zoezi la kuwasikiliza wapiga kura kufanyika katika mazingira yenye uwazi wa kutosha."
after causing disappointment all over africa with remarks made to the media the day before, the elysée released a tardy statement saying that it "condemned any violence and supports freedom of expression. points out his speech in dakar on the 29th november 2014 where he expressed his wish for all constitutions to be respected and for consultation of the electorate to take place under conditions of undisputed transparency."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting