Results for kuitwa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

cyber kuitwa nini katika kiswahili

English

cyber called what in kiswahili

Last Update: 2024-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sistahili hata kuitwa mwanao. nifanye kama mmoja wa wafanyakazi wako.

English

and am no more worthy to be called thy son: make me as one of thy hired servants.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na watu: mwalimu.

English

and greetings in the markets, and to be called of men, rabbi, rabbi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usiwe shuku zisizo na sababu kuhusu nchi hiyo kutokana na hofu ya kuitwa msaliti.

English

do not be needlessly cynical about that country out of fear of being dubbed a traitor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kuwasili hapo, walipelekwa kwa chumba kidogo ambapo walisubiri kwa masaa kadhaa kabla ya wao kuitwa kivyao kwa ajili ya mahojiano.

English

upon arriving there, they were taken to a small room where they waited for hours before they were called separately for investigation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, ibara ya 175 haina mwongozo uliowazi kwa polisi au mahakama kuhusu kile kinachoweza kuitwa kukosa maadili katika kesi kama hizi::

English

interestingly, article 175 offers no clear guidance to police or courts about what constitutes obscenity in these cases:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tatizo jingine ni maelezo yasiyoeleweka ya lipi hasa linaloweza kuitwa ni la ki ngono, lisilo la kistaarabu, lisilo la kimaadili, na la nguoni.

English

another problem is the vague definition of what constitutes images and actions that are pornographic, indecent, immoral, and obscene.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sassou-nguesso alikuwa rais wa jamhuri ya watu wa kongo kati ya 1979 na 1992 na aliendelea kushikilia madaraka hata baada ya nchi hiyo kubadili jina na kuitwa jamhuri ya kongo kuanzia mwaka 1997.

English

sassou-nguesso was president of the people's republic of congo between 1979 and 1992 and has held the office in the renamed republic of congo from 1997.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini marekani, inaonekana kuwa jambo kama hilo linaweza kusababisha taasisi za huduma za jamii kuitwa ili kutathmini hali, au watoto hapa huweza kuhisi namna fulani ya kuwachukia wazazi wao kutokana na adhabu kama hizo.

English

in america, it seems that such a thing can result in social services being called in to review the situation or children here feel some sort of resentment towards their parents for it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika siku za mwisho wa juma ni makundi ya watu wa aina hiyohiyo ambao huja kutazama ragbi,huku kola zao zikiwa zimenyanyuliwa juu ili kujikinga na jua. ….upande mwingine wa jiji kuna kijiji cha ki-ethiopia, upande wa chini wa mtaa kuna ubalozi wa marekani, hapa ni katikati kabia ya kabalagala, ambayo inaweza kuitwa ndiyo las vegas ya kampala.

English

on weekend days the same crew watch rugby, collars popped to block the sun. ....across town ethiopian village, down the street from the american embassy, is in the dead center of kabalagala, the las vegas of kampala.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,831,506,749 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK