From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hisia za kukamata
catching the feelings
Last Update: 2023-03-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuibuka kwake kukamata uongozi kumewasisimua waparaguai walio nyumbani na walio ughaibuni.
his ascent to power excited those paraguayans at home, as well as those living abroad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
si hivyo tu, lakini pia ningependa kukamata mawazo yako juu ya ukweli kuwa nepal inaagiza karibu asilimia 100 ya mafuta yake.
not only that, i would also like to catch your attention about the fact that nepal imports almost 100% of its oil.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanablogu wa maldivihani amir anaandika kuhusu mbinu za uvuvi asilia ikiwa ni pamoja na kukamata mamia ya samaki kwa mikono yao, badala ya kutumia nyavu au fimbo.
maldivian blogger hani amir writes about the traditional fishing methods of the reef fishermen of maldives which include catching tons of fish with their hands, instead of nets or rods.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muswada huo unawapa polisi mamlaka makubwa ya kupekua nyumba za watu wanaohisiwa kuvunja sheria hiyo, kukamata vifaa vyao vya kieletroniki, na hata kudai data zao kutoka kwa makampuni yanayotoa huduma za mtandao.
it gives police wide ranging ability to search the homes of suspected violators of the law, seize their electronic hardware, and demand their data from online service providers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii imetokea kutokana na wao kuacha kushughulikia matatizo ya msingi ya nchi na kushindia kunyima uhuru watu kwa; kunyamazisha watu, kupiga marufuku vitabu, tamthilia na filamu, kukamata wanaharakati na kufanya ubaguzi wa rangi hasa kwa wageni.
this came after they left the country's real problems to focus on suppressing freedoms, silencing people, banning books, plays and movies, arresting activists and being racist against foreigners.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muhtasari wa mtendaji muhtasari wa mtendaji unajumuisha aya chache ambazo zinabainisha kwa ufupi shida kwenye vyanzo vya mapato kwa kdc, jinsi inavyoshughulikia shida iliyoainishwa, fursa ya soko ambayo uwekezaji umeundwa kukamata, kulinganisha uwekezaji unaoshindana katika suala la sehemu ya soko, ubora, bei, na mambo mengine muhimu. je, ni nini uwezo na udhaifu mkubwa wa washindani wa kdc, msimamo wa kifedha, na faida? kwa nini washindani wa kdc hawajakidhi mahitaji ya wateja?
executive summary an executive summary consists of a few paragraphs that succinctly identify the problems on revenue sources for kdc, how it addresses the problem outlined, the market opportunity that the investment is designed to capture, compare competing investments in terms of market share, quality, price, and other relevant aspects. what are the kdc competitors' major strengths and weaknesses, financial position, and profitability? why are the kdc competitors not meeting customer needs? wh
Last Update: 2024-07-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: