Results for kulaani translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

hakuna mtu anasimama kulaani vitendo hivi?!

English

nobody stands up to condemn this?!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, ni rahisi kulaani ubakaji unapotokea sehemu nyinginezo?

English

is it easier to condemn rape when it happens elsewhere?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baraza la taifa la elimu ya sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:

English

the national syndicate for secondary education issued a statement condemning the arbitrary transfer:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandamanaji waliweka mishumaa mitaani na kuimba kwa sauti ya juu sana nyimbo mbalimbali za kulaani vitendo hivyo.

English

protestors placed candles in the street and sang their condemnation in unison, at the top of their lungs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ngoja tusubiri tuone marais wangapi wa afrika waliokimbilia kwenda paris kuandamana kuonesha mshikamano watakwenda kenya kulaani shambulio la garissa

English

let's see how many of the african presidents who rushed to paris for #charliehebdo march will head to #kenya to protest #garrisaattack — idriss ali nassah (@mynassah) april 2, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini petro akaanza kulaani na kuapa akisema, "mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake."

English

but he began to curse and to swear, saying, i know not this man of whom ye speak.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pia, kwa #socialismoproductivo kundi hili linmetengezwa kuonyesha kile wanachokiona kama maandamano yasiyostahili kuwa na kulaani vitendo vya vurugu.

English

also, with #socialismoproductivo this group aims to highlight what they consider unjustified protests and condemn violent acts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sauti ya baragumu inayoongezeka kwa kasi, matamko ya kulaani pamoja na kelele za vibaraka wanaonadi, ambao humaliza siku yao kwa wizi wa wazi wanaofanyiwa abiria.

English

with horns that keep growing louder, the shouting of curses, and the barking of the coxeur touts, who are finishing up their day of petty larceny committed on passengers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati wa habari za ubakaji wa kimakundi jijini delhi mwaka 2012 zilipovuma katika vyombo vya habari, mamia ya twiti zilitoka nchini pakistani kulaani matukio hayo ya kifedhuli.

English

when the 2012 delhi gang-rape story hit the news wires, hundreds of tweets emerged from pakistan condemning the barbaric incident.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika wale wanao ficha tuliyo yateremsha -- nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya sisi kuzibainisha kwa watu kitabuni -- hao anawalaani mwenyezi mungu, na wanawalaani kila wenye kulaani.

English

indeed allah curses, and the cursers, too, curse those who conceal the clear teachings and guidance we have sent down, after we have made these plain in the book for the guidance of all mankind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vyombo vya habari na maoni huru ya watu yanabaki kimya kulaani uvunjifu huu wa uhuru wa kujieleza na uvunjifu wa haki za binadamu, basi kesho mahakama yoyote inaweza kumshitaki mwandishi kwa kumkosoa rais wa jamuhuri, au afisa wa jeshi, waziri au hata naibu waziri.

English

if the media and the opinion keep quiet on this infringement of freedom of expression and the violation of a citizen's rights, then tomorrow any court can charge a journalist for criticizing the president of the republic, an army official, a minister or a deputy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aad inaamini kwamba, yule atafutaye usawa lazima aje na mikono iliyosafi na kwamba udhaifu wa chama cha npp wa kushindwa kulaani vitendo vya vurugu vya mkuu wa mkoa wa kati –mhe. edumadzie, na maoni kama hayo hayo ya mhe.

English

aad believes that, he who seeks equity must come with clean hands and that the new patriotic party's blatant disregard and failure to condemn violent acts of the former central regional minister- hon. edumadzie, and the similar comments of hon. maxwell kofi jumah, hon. mike ocquaye, dr. nyaho.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hadi au yeyote kutoka kwenye wizara ya ushirikiano wa kimataifa ya #yemen kutoa tamko la kulaani kunyongwa kwa watu watano wa ki-yemeni kitendo kilichotekelezwa na #saudi!. http://afrahnasser.blogspot.com/2013/05/saudi-excutes-five-yemeni-men.html?

English

@afrahnasser: i dare mr. hadi or anyone from #yemen's foreign ministry issue a statement to condemn #saudi execution of 5 yemeni! http://afrahnasser.blogspot.com/2013/05/saudi-excutes-five-yemeni-men.html?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,632,785,820 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK