Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kupaza sauti yako
raise your voice. midnight
Last Update: 2022-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
guatemala: kupaza sauti dhidi ya mauaji ya wanawake wenyeji wa nchi hiyo
guatemala: speaking out on the genocide of indigenous women
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anaamini ni muhimu sana kuziratibu jamii za waafrika kupaza sauti kuwaunga mkono rafiki zao wa kenya.
she believes it is more important to organize the african communities to voice support for their kenya friends.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kw ahiyo nitakitumia kama zana ya kupaza sauti ya watu kupitia sanaa na kushinikiza mabadiliko kwa maslahi ya malaysia.
so i will use it as a tool to convey people’s voice through art and to push for total reform for a better malaysia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wavenezuela duniani kote wanaopinga serikali yao wameandaa mikusanyiko ya amani kupaza sauti zao na kuzifanya serikali za nchi wanazoishi kuelewa mwenendo wa mambo.
venezuelans around the world who oppose their government have organized peaceful gatherings to make their voices heard and ensure local governments understand what their compatriots are living through.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwezi huu habari kadhaa kupitia video zimejikita kwenye ukiukwaji wa haki za binadamu na hatua zinazochukuliwa kupaza sauti dhidi ya vitendo hivyo na jitihada za kuyalinda makundi ya watu wanaoonewa na jamii zilizo masikini.
several stories using video this month have focused on human rights violations and the steps being taken to speak out on the abuses and try to protect minorities and disadvantaged communities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hata hivyo, tutataja machache tu, yaani wale wanawake walioguswa na kupaza sauti zao kupitia mtandao wa lugha ya ki-hispania wa web 2.0.
nevertheless, we will mention a handful of these cases, women who have been moved to speak out the loudest throughout the hispanic web 2.0.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mpiga picha wa kireno eduardo leal ameweka mkusanyiko wa picha mtandaoni ambao unakusudia “kupaza sauti za wafuasi wa pande zote, yaani wafuasi wa chávez na wale wa ."
this post is part of our special coverage venezuela elections 2012. portuguese photographer eduardo leal has published an online photographic gallery that aims to "give a voice to both sides, the supporters of chávez and of ."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
@simsimt: mtesaji aliyekuwa sasa kama aliyechanganyikiwa alikuwa akitukana na kupaza sauti akisema "wewe ni jasusi, jasusi, jasusi!" huku akinipa kipigo! #sudanrevolts
@simsimt: the torturer who had gone pretty mad was hysterically shouting "you're an agent, agent, agent!" while beating me up! #sudanrevolts
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting