From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kupigania ufahamu
fight for awareness, for it is the road to freedom
Last Update: 2022-03-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kupigania tofauti za mitizamo ya kimapenzi
fighting for sexual diversity
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, harakati hizo za kupigania demokrasia zina demokrasia ndani yake?
is the movement to defend democracy itself democratic?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni njaa ya wa-kurdi kupigania uhuru, wala si dhana mpya.
this is kurdish hunger for freedom, it is not a new concept.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ni aibu kwa yeyote anayetutaka tuisahau palestina na tukimbilie kupigania mkate….
shame on whoever wants us to forget palestine and run after a loaf of bread...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku ya ada lovelace: kuwapongeza wanawake wanajishughulisha kupigania teknolojia na uwazi ulimwenguni
ada lovelace day: celebrating women in technology and transparency worldwide · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akirejea kile kilichotokea kameruni wakati wa vita vya kupigania uhuru nchini humo, anaongeza:
referring to what happened in cameroon during the war of independence in the country, he adds:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nyerere aliiunganisha nchi kwa kupigania sana lugha ya kiswahili na kuifuma pamoja katika maisha ya kijamii ya watanzania.
nyerere unified the country by aggressively adopting the swahili language into the fabric and way of life of tanzanians.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya akmal kudungwa sindano ya sumu, serikali ya uingereza na baadhi ya mashirika ya kupigania haki yalijibu vikali.
after the inject of akmal by lethal injection, the british government and some right organizations reacted fiercely.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila shaka, inakuwa vigumu zaidi kuhalalisha kutoa ruzuku inayotokana na kodi zetu kwa mashirika haya yanayojifanya kupigania haki za wanawake.
of course, it gets harder and harder to justify subsidizing your feminazi soap box.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ninawapongeza wote waliofanya kazi kimya kimya, pasipo kuchoka na kwa umakini mkubwa kwa miaka yote hii ili kupigania manufaa ya umma mpana zaidi.
i celebrate all who have worked silently, tirelessly and with so much care all these years for the greater good of others.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ashenafi alikuwa ndio kwanza ameanzisha umoja wa wanasheria wanawake miaka miwili iliyopita kwa lengo la kupigania haki za wanawake kwa mujibu wa katiba mpya ya ethiopia.
ashenafi had just established the women lawyer's association two years earlier to fight for the rights of women according to ethiopia's then-new constitution.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hapana, haya ni maandamano kupigania usawa zaidi katika eneo la afrika iliyo kusini mwa jangwa la sahara, kama ilvyotokea hivi karibuni nchini burkina faso.
no, these are protests for greater equality in sub-saharan africa, most recently in burkina faso.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanazuoni wa kiislamu siti musdah mulia: "takwimu zinaonyesha kuwa wanawake hivi sasa wanathubutu kupigania haki zao na kupinga utawala wa wanaume.
muslim scholar siti musdah mulia: “the data shows women are now daring to fight for their rights and reject male domination.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kiongozi wa kisiasa elizabeth mateo, maarufu kama kiongozi wa kupigania asilimia 4 ya pato la taifa itumike kwa elimu, aliandika yafuatayo kwenye mtandao wa twita:
civic leader elizabeth mateo, popularly known as the leader of the fight to get 4% of gdp spent on education, published the following on twitter:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo jela kwa yeyote ambaye hatatoa taarifa za kuwapo kwa raia anayefanya vitendo vya kishoga kwa mamlaka za kiserikali na vile vile sheria hiyo inatoa hukumu kwa mtu yeyote kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na twita kwa minajili ya kupigania haki za mashoga kitendo kinachotafsiriwa na sheria hiyo kuwa ni cha jinai na hukumu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba jela.
it also provides for prison sentences for anyone who does not report gay people to authorities and punishes the use of facebook and twitter accounts to fight for gay rights a crime with a maximum of seven years in jail.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini kwa sababu alikuwa anatembelea nchi tatu za afrika ambapo vyombo vya habari vinaonekana "kutokuwa huru," ninadhani si tu matamshi yale ni namna mbaya bali ni hatari kwa serikali yake inayojinadi kupigania demokrasia.
but in that he was visiting three african countries whose press is judged by freedom house to be "partially free," i think it is not just bad form but harmful for his administration's support for democracy.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
google translatehistoria fupi ya chama: chama cha wasioona tanzania kilianzishwa mwaka 1964 na wanafunzi wa chuo cha ufundi manoleo mkoani tabora. lengo la kuanzishwa kwa chama lilikuwa kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanachuo wa chuoni hapo. baadaye mwaka 1972 chama cha wasioona kilisajiliwa kwa namba za usajili 5034 na kuwa chama cha kitaifa na makao makuu kuhamishiwa dar es salaam. lengo likiwa kuwaunganisha wasioona wote nchini, kupigania haki na maslahi yao kwa njia ya ushawishi na utetezi. chama cha wasioona kina wanachama zaidi ya 3000 na matawi zaidi ya 105. aidha, chama cha wasioona wilaya ya temeke kilianzishwa mwka 2001 na wanachama waliokuwa wakiishi wilayani hapo, lengo likiwa kupigania haki na maslahi ya wasioona wa wilaya ya temeke. tawi hili lina zaidi ya wanachama 180.
google translate
Last Update: 2015-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: