Results for kupigwa na kulungu mguun translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kupigwa na kulungu mguun

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ninajiuliza: ni nin haswa kinachomsukuma mtu hata kuweka reahani maisha yake kwa kufungwa jela, kupigwa na kuteswa?

English

i ask myself: what is it that makes someone risk being jailed, beaten and tortured?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wala hawafikiri kwamba nchi za magharibi ndizo zilizomtengeneza sheitwan na kwamba raia wa kimagharibi ndio wanaopaswa kupigwa na kuangamizwa kwa kutumia matendo ya kujitoa mhanga yanayosukwa kwa ustadi na kwa kushtukiza.

English

nor do they think that the west was created by satan and should be defeated in battle by inflicting maximum civilian casualties through random and creative acts of murderous suicide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je ni mimi, au ni uchafuzi wa aina ya ajabu kuunganisha kupigwa na kuuwawa kwa wahindi nchini australia na sera za sasa kuhusiana na uuzaji wa madini ya uranium kwa india?

English

is it just me, or is it just grubbiness of an arcane kind to link the assault and murder of indians in australia to australia's current policies in relation to the sale of uranium to india?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: katika jengo la #niss, nilistahimili karibu saa 4 au 5 za kutukanwa, kupigwa na vitisho vya kila aina ili tu nifungue simu yangu #sudanrevolts

English

@simsimt: at #niss building, i endured almost 4 or 5 hours of verbal abuse, severe beating up and all kind of threats to unlock my phone #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

‏@sundashoorain: @cmshehbaz pml_n inasubiriwa kuchukua hatua na kuonesha kutokukubaliana na kitendo hiki cha msichana wa miaka 11 kutuhumiwa kwa kukashifu imani, kupigwa na kuwekwa kizuizini #freerimsha

English

‏@sundashoorain: @cmshehbaz still waiting for action & condemnation from pml-n on an 11yr old getting accused of blasphemy, beaten & arrested #freerimsha

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akihimiza "umoja wa kitaifa" katika viwanja vya wazi vya concepcion mnamo tarehe 27 machi, mwezi mmoja kamili baada ya nchi kupigwa na tetemeko baya kabisa, rais sebastián piñera alitangaza mpango uliobatizwa jina la "hebu turejee kwenye kazi" (“manos a la obra”) , ambalo ni vuguvugu lililoanzishwa na serikali ya chile ili kujenga mpya miundombinu ya nchi pamoja na majengo.

English

calling for “national unity” in concepcion’s main square on march 27, exactly a month after the devastating earthquake that hit chile, president sebastián piñera announced “plan manos a la obra” (plan "let's get to work") , an initiative of the chilean government to reconstruct the country’s infrastructure and housing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,946,265,961 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK