From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
siwezi kupumua!
i can’t bloody breathe!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nina ugumu wa kupumua pia
i have some difficulty breathing too
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini ni ugumu wa kupumua
but i have difficulty breathing
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
una ugumu wowote wa kupumua sasa?
are you having any difficulty breathing now
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kando na hayo, je una matatizo ya kupumua
and besides do you have difficulty breathing
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
jaribio linaweza kufanywa kwa sampuli za kupumua au za damu.
the test can be done on respiratory or blood samples.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
virusi vingi vimehusisha maambukizo kali ya ya mfumo wa kupumua.
most of these have involved serious respiratory tract infections.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
dalili za kawaida zinajumuisha homa, kukohoa, na matatizo ya kupumua.
common symptoms include fever, cough, and shortness of breath.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
virusi hivi vinaambukizwa kupitia vijitone vya mfumo wa kupumua na kupitia vitu.
the virus is transmitted through respiratory droplets and through objects.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
matatizo ya mikamba ya kupumua kwa wale wenye umri wa chini ya miaka mitano
acute bronchitis/bronchiolitis in those younger than five years
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
dalili za kawaida ni pamoja na joto jingi, kikohozi na kushindwa kupumua vizuri.
common symptoms include fever, cough and shortness of breath.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ni nadra kwa wafanyakazi katika kikundi hiki cha hatari huhitaji kutumia mashine ya kusaidia kupumua.
workers in this risk group rarely require use of respirators.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
inaonekana demokrasia haikuumbwa kwa watu kama sisi - ambao hatuwezi kupumua nje ya tawala za kijeshi.
it seems that democracy wasn't made for people like us - who cannot breathe outside military rule.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
takriban 20-30% ya wagonjwa baadaye huhitaji tiba ya kina na mashine za kusaidia kupumua.
approximately 20-30% of patients subsequently require intensive care and mechanical ventilation.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa utaratibu wa kuzalisha aerosoli utatekelezwa, barakoa ya upasuaji hubadilishwa na mashine ya kusaidia kupumua ya n95 au ffp2.
if an aerosol-generating procedure is performed, the surgical mask is replaced with an n95 or ffp2 respirator.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya wagonjwa walikuwa na ugumu wa kupumua na/au kiwango cha chini cha hewa safi mwilini mwanzoni mwa ugonjwa.
some patients experienced dyspnea and/or hypoxemia one week after the onset of the disease.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
baadaye alituma vifaa vya kupima virusi 5,000, barakoa za uso 100,000 na vifaa za kusaidia kupumua 5 kuelekea panama.
he later sent 5,000 testing kits, 100,000 face masks and 5 ventilators to panama.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kifaa cha nje cha kupeleka pumzi mwilini (ecmo) kimetumika kushughulikia matatizo ya kupumua, lakini faida zake bado zinaangaliwa.
extracorporeal membrane oxygenation (ecmo) has been used to address the issue of respiratory failure, but its benefits are still under consideration.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
hii inajumuisha mashine za kusaidia kupumua za n95, ambazo hazipendekezwi kwa umma - hizi ni vifaa vya wataalamu ambavyo lazima viwekwe vizuri ili viweze kufanya kazi.
that includes n95 respirators, which are not recommended for the general public – these are specialist equipment which must be fitted to be optimally effective.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
dalili nyingine zisizo za kawaida ni pamoja na matatizo ya kupumua, maumivu ya koo, kuumwa na kichwa, maumivu ya misuli, au kutoa makohozi.
other less common symptoms include shortness of breath, a sore throat, headache, muscle pain, or sputum production.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: