Results for kurejelea translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ni muhimu kutoa ushauri wa kisaikolojia na msaada wa muda mrefu ili kusaidia wagonjwa kupona kutokana na mfadhaiko na kurejelea hali ya kawaida ya maisha.

English

it is imperative to provide psychological counseling and long-term support to help these patients recover from the stress and return to normal life.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hotuba yake ya mwisho ilijaa hasa kurejelea historia na hii ni kama ilivyonukuliwa na the pakistani spectator, yaani hasa kuelezea ni kwa namna gani alitumikia nchi na watu wake.

English

his concluding remarks were mostly a walk back into history as penned down by the pakistani spectator, which was just to highlight his services for the people and for the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

elimu rasmi — tofauti na elimu isiyo rasmi — huelekea kurejelea shule, vyuo, vyuo vikuu na taasisi za mafunzo.

English

formal education — as opposed to informal education or non-formal education — tends to refer to schools, colleges, universities and training institutions.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jina hili lilichaguliwa ili kuepuka kurejelea eneo mahususi la kijiografia (k.m. china), aina za wanyama au vikundi vya watu, kulingana na mapendekezo ya kimataifa kuhusu kutoa jina linalolenga kuzuia unyanyapaa. virusi vinavyosababisha covid-19 vinaitwa virusi vya korona vya ugonjwa mbaya wa pumu 2 (sars-cov-2).

English

the name had been chosen to avoid references to a specific geographical location (e.g. china), animal species or group of people, in line with international recommendations for naming aimed at preventing stigmatisation.the virus that causes covid-19 is named severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (sars-cov-2).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,916,212,752 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK