Results for kushimamisha nguzo translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kushimamisha nguzo

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kushimamisha nguzo za umeme

English

hanging pillars

Last Update: 2024-06-21
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nguzo

English

electric pole

Last Update: 2020-12-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nguzo ya umeme mtaani

English

electric pole

Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kusimika nguzo za gurudumu kapi

English

mounting of the steering wheel pillars

Last Update: 2020-03-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwenye nguzo zilio nyooshwa.

English

in extending columns.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nguzo ya umeme hadi kwenye nyumba

English

electric pole

Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kusambaza nguzo za lt kwenye mradi mpya

English

Last Update: 2021-01-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mali: vitambaa vyasuka nguzo za uchumi na utamaduni

English

mali: fabric weaves an economical and cultural support · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jiji lenye minara elfu sasa ni jiji lenye nguzo elfu!

English

the city of a thousand minarets is now the city of a thousand pillars!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kila mwaka mamilioni ya waislamu husafiri kwenda maka kuhiji, moja ya nguzo tano za uislamu.

English

every year millions of muslims converge to mecca to perform hajj (pilgrimage), one of the five pillars of islam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilisemekana kuwa kwenye jiji la tacna hapakuwa na umeme kufuatia kuangua kwa nguzo za umeme:

English

there, some said the city of tacna was without electricity due to electric poles falling over:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akasema: laiti ningeli kuwa na nguvu kwenu, au nategemea kwenye nguzo yenye nguvu!

English

"i wish i had the power to resist you," said (lot), "or powerful support."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kutokana na maagizo hayo, huyo askari aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga miguu yao kwenye nguzo.

English

who, having received such a charge, thrust them into the inner prison, and made their feet fast in the stocks.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfumo wa haki na jumuishi unaoifanya elimu ipatikane kwa watu wote ni nguzo imara kwa jamii iliyo wazi na inayoheshimu haki, inawezesha ushirikiano na kuaminiana.

English

a fair and inclusive system that makes education available to all is a powerful lever for a fair and open society. it enhances social cohesion and trust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

moto huo uliunguza karibu kila kitu chenye thamani na wakati wazima moto walipomaliza kuuzima moto huo; kila kitu kilikuwa ni majivu isipokuwa kuta za zege na nguzo.

English

the fire burnt nearly every valuable item and by the time the fire service personnel were done putting out the inferno; everything was down to ashes except the concrete walls and pillars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna umeme kwenye vijiji vya mafa kilda, umeme unapita tu kwa nguzo za umeme (ukitokea ngong kwenda garoua).

English

there is no electricity in mafa kilda village, it's just passing by (and going from ngong to garoua).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanablogu wa kimisri zeinobia, anayeblogu kupitia blogu ya egyptian chronicles, kadhalika anaguswa na jinsi ugonjwa utakavyosambaa wakati wa haji , ambapo mamilioni ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani hukusanyika maka ili kutimiza nguzo hiyo.

English

egyptian blogger zeinobia, who blogs at egyptian chronicles, is also concerned about how the disease will spread during the hajj , where millions of pilgrims from around the world converge to mecca to perform the ritual.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

English

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

Last Update: 2020-04-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika majuma machache yaliyopita, gereza la torah liligeuka siyo tu kuwa makazi ya watoto wa mubarak, lakini pia limekuwa makazi ya nguzo (watu) wengi tu waliokuwa katika utawala wa mubarak.

English

in the past weeks, torah prison became not only host for mubarak's sons, but it has also been hosting many of the pillars of mubarak's regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilikuwa siku yenye baridi na ukungu. hakukuwa na trafiki nyingi barabarani. nilikuwa nimesimama kwenye balcony ya nyumba yangu wakati, ghafla, nilisikia kelele kubwa. dereva wa gari alikuwa amepoteza udhibiti kwa kugeuka na alikuwa amegonga nguzo ya umeme.

English

it was a cold and foggy day. there wasn’t much traffic on the road. i was standing in the balcony of my house when, suddenly, i heard a loud noise. the driver of a car had lost control at a turning and had crashed into an electricity pole.

Last Update: 2021-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,653,275,622 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK